Mume kamwambia akirudi asimkute

Fine Wine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
595
Reaction score
1,686
Anaomba ushauri afanyeje [emoji1787][emoji116]

Anonymous member.

Naomba kufichiwa jina
Nimeolewa ni mama wawa toto 2,

Naombeni ushauri wenu niko taabani nina huyo mchepuko wangu nampenda sana sana zaidi ya sana amekua akinitoa upwiru, mume wangu akiwa nje ya mkoa uko anapofanya kazi.

Yapita week 3 ma mkwe wangu kaja kunitembelea hapa nyumban nyumba inavyumba 4 kingine analala ma mkwe kingine watoto kingine binti wa kazi kingine chang na mume wangu.

So kama hivi mume wangu akiwa hayupo naingiza huyu mchepuko wangu sa nilivyo ona huyu mama anakawia kuondoka nikawa nawaamulu kulala mapema mwisho wa kuangalia kipind kwenye TV ni saa 3 wazime TV wakalale.

Sijali cha mama mkwe ama watoto, nimeishI hivyo nikiwafukuza tu nasikilizia kidogo ikifika saa 5 usiku mchepuko wangu namwingiza polepole.

Ukisikia za mwinzi 40 juz bwana kunaelekea kupambazuka ilikua saa 10 na dakka 20 nikamtoa mchepuko wangu aondoke ghafla tukakutana na mama mkwe wangu koridoni kavaa kanga alikua anaenda uwani,

Nilitetemeka nusu nipoteze fahamu mie mwenyewe nilikua kwenye night dress yule mama akatutolea macho akaanza kunitukana kumbe hii ndo tabia yako malaya mkubwa wewe mtoto wangu hakurizishi nini? Hakupi au ni nyege zinakuwasha alinitukana muda huo na mchepuko kasimama kashindwa kutoka.

Ghafla akasema kama unataka nisikusemee kwa mumeo namtaka namimi huyu kijana ili kulinda ndoa yangu nilimurihusu kijana aende na mama chumbani walitangulizana kule chumban anakolala ma mkwe.

Dakika CHACHE nikawa nasikia saut ya mama mkwe akilia sauti ya mahaba, muda huo mie nipo tu koridoni nasikiliza kama dakika 30 wakatoka kijana akaondoka, kilicho nileta hapa ni meseji mume wangu kanitumia imeandikwa

Kabla sijafika hapo nyumban nikukute ushaondoka kwenu watoto wang nichie kahaba mjaa laana wewe nisikukute nitakuuwa

Nisaidie jaman sina pa kwenda mimi, nisaidien kuniombea kwa mume wangu, mpaka sasa sijachukua uamuzi wowote namsubiri arudi. Mama mkwe kanigeuka maana hakuna mwingine wa kutoa tarifa hizo tofauti na yeye. Ule mchepuko hana mbele wala nyuma anaish kwa rafiki yake getho
 
Yaani mwanamke malaya anaomba ushauri humu, wapi mkuu wa wilaya wa kuleee......... Kuna kichwa huku kinajiuza nyumbani kwa mume unahangaika na wale wenye upwiru kwenye vyumba vya wageni

Wanandoa wamekengeuka sana mkuu. Sijui shida ni nini?
 
Wanaume wanapata nini kuandika story za ajabu hivi.

Sio mwanaume ni mwanamke. Why wanaume mada za kuwaumiza mioyo mnakimbilia kusema wanaume? Hiyo ni anonymous anaomba ushauri, sasa wewe umekereka na nini hapo?
 
Huo ndo ushauri wako? Why usijikite kwenye ushauri badala ya kutukana moderator’s?
Threads za uzinzi ziko ngapi humu inamaana hii forum imejikita kujadili uzinzi yaani mwanamke anafanya umalaya Tena nyumbani,(ndani ya nyumba anayoishi na mume), tumpe ushauri hapa kweli? , Hawa mods kazi Yao ni nini, it will become no longer a forum of great thinkers if prostitution is given an up hand personally am not in favor of this , sorry for my over reactions
 
Threads za uzinzi ziko ngapi humu inamaana hii forum imejikita kujadili uzinzi yaani mwanamke anafanya umalaya Tena nyumbani kwakwe?,

Wale wanaouana kwa visa vya mapenzi wao wanafanyia wapi? Najua wanaume mmeumia ila ushauri wako muhimu. Au aje kuishi kwako? Maana uku mumewe ndio hivyo tena
 
Hilo sinia la mandazi litembee jamani mbona mmekaa nalo tu huko mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…