Mume kamwambia akirudi asimkute

Mume kamwambia akirudi asimkute

Pole sana mkuu hatimae nimebubujikwa na machozi.
 
Mkuu wa Wilaya huyu Malay..a anaejiita mke wa mtu hukumuona kwanini?. Huyu wa kuwekwa sero ya kiume kabisa🤣🤣
 
Dah nimelia sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119][emoji119]kweli wanawake wengine hamna adabu yaani unamleta mchepuko asiye na mbele wala nyuma kwenye nyumba ya mwamba....hatari san kwann asingekuwa unapita kuzagamuliwa huko geto kwake jion au asbh kbl ya kwenda kazini au siku za weekend tamaa gani hizi...ila huyo mamamkwe nae anahatari mmmh[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom