WEWE SI NDIE ULIOA MKUU??? WEWE SI NDIO ULIMTOA KWAO UKAMLETA KWENU AU NI KINYUME CHA HIVYO??Msaada wana jamvi,mara nyingi kwa watumishi wa kike inakua rahisi kuhama kamfuta mume wake,kama wapo mbali kikazi.Je kama mume anataka kuhama amfuate mke wake je hizo taratibu zinasemaje??Naomba mnipe taratibu mimi(male)nataka kumfuata mke wangu.msaada msaada jamani
Mkuu pamoja kum time wenzake,naona pia ufanisi unakuwa mdogo jamaa akiwa kazini.Lakini siku hizi haki sawa,sio mwanaume tu kufuatwa na mwanamke bali pia mwanamke anaweza kufuatwa na mwanaume kule aliko.WEWE SI NDIE ULIOA MKUU??? WEWE SI NDIO ULIMTOA KWAO UKAMLETA KWENU AU NI KINYUME CHA HIVYO??
ACHA YEYE AKUFUATE BANA....HATA UKIWA PORINI NAMNA GANI NA AJE TU HAFUATI PORI BALI ANAKUFUATA WEWE.
LAKINI??.....Haya mambo ya kufuatanafuatana mbona yamepitwa na wakati mkuu?? chapa kazi hapo ulipo nae acha aendelee na kazi. akiweza ahamie kwako....AU WIVU MKUU???? UNAHISI JAMAA WANAKUTIME NINI??
WEWE SI NDIE ULIOA MKUU??? WEWE SI NDIO ULIMTOA KWAO UKAMLETA KWENU AU NI KINYUME CHA HIVYO??

how old are you?
kama hauna uhakika na unacho kisema usichangie.
kwanza kauli ya kumuoa au kumtoa kwao inaonesha wewe ni mwanaume wa aina gani.wameoana na sasa ni kitu kimoja.
kauli ya kufatanafatana kumepitwa na wakati pia umekosea-ndoa ni wawili kuwa pamoja we unajua madhara ya kila mtu kukaa mwenyewe?kimahusiano ata kiuchumi?
usipende kupotosha wenzio.je kama mama hawezi kuhama kazi na baba anaweza kwanini asimfuate?maana ukimfuata kumuoa tu umesha onesha kumuhitaji sasa kumfuata kikazi kuna shida gani.
Unamtema mke wako wa ndoa kisa uhamisho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Upupu,kha!Wewe kibaraka wa wazungu. Haki sawa ni kwa watu wasio wastaarabu. Mwanamke anatolewa mahali. Acha ujinga wa kizungu.
Mkuu acha mambo ya kufuata mke, utakuwa mtumwa, wanamatatizo hawa usiwaone2 hivi.
Fanya Kiume acha mambo ya haki sawa yatakupoteza kuwa na msimamo. Ikiwa vipi basi vipi, unamtema wanawake wapo wengi tu tena wenye heshima. Asikuzingue
upupu ndo nn?Unamtema mke wako wa ndoa kisa uhamisho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Upupu,kha!
Wewe ni wale wale. kama vipi aache kazi. Wewe unajua MANENO YA MUNGU?Unamtema mke wako wa ndoa kisa uhamisho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!? Upupu,kha!
na tatizo jingine ndoa zinatofautiana kama wewe ni Muslim unaweza kuoa mwingine but sisi wakristo tunakubali kumfuata tuu.Wewe ni wale wale. kama vipi aache kazi. Wewe unajua MANENO YA MUNGU?
Wewe ni wale wale. Utaona baada ya mda.tatizo wanaojibu ni watoto wadogo mkuu wewe kama vp mfuate mkeo bwana mimi mwenyewe I am about to do that, Hakika mkuu tupo wengi!
Wewe kibaraka wa wazungu. Haki sawa ni kwa watu wasio wastaarabu. Mwanamke anatolewa mahali. Acha ujinga wa kizungu.
Mkuu acha mambo ya kufuata mke, utakuwa mtumwa, wanamatatizo hawa usiwaone2 hivi.
Fanya Kiume acha mambo ya haki sawa yatakupoteza kuwa na msimamo. Ikiwa vipi basi vipi, unamtema wanawake wapo wengi tu tena wenye heshima. Asikuzingue
Wewe ni wale wale. kama vipi aache kazi. Wewe unajua MANENO YA MUNGU?