TASLIMU
Senior Member
- May 6, 2011
- 144
- 21
Msaada wana jamvi,mara nyingi kwa watumishi wa kike inakua rahisi kuhama kamfuta mume wake,kama wapo mbali kikazi.Je kama mume anataka kuhama amfuate mke wake je hizo taratibu zinasemaje??Naomba mnipe taratibu mimi(male)nataka kumfuata mke wangu.msaada msaada jamani