Kwa nini alichukua nguo ya mwenyewe na kuigawa bila ya kupata ruhusa kutoka kwa mmiliki wake???Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!??.
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani anawapiga mkikosea!?, Unampiga mtu mangumi, mateke.
Kwanini msimalize migogoro kwa majadiliano badala ya kupigana!?.
Nini maana ya kuwa kiongozi wa nyumba!?. Mke ni dhamana na Amana uliyokabithiwa na Mungu na familia yake, ukiona umeshindwa mrudishe kwao kwa Amani, msituulie dada zetu kwa visirani vyenu.
Umeshindwa kusuluhisha huo ugomvi umekimbilia mtandaoni kuleta udaku cha mtu ni cha mtu usikiguse hata kikioza mpaka mwenyewe akupe ruksa haya lete hiyo buku tatu kama ni rahisi!Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!??.
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani anawapiga mkikosea!?, Unampiga mtu mangumi, mateke.
Kwanini msimalize migogoro kwa majadiliano badala ya kupigana!?.
Nini maana ya kuwa kiongozi wa nyumba!?. Mke ni dhamana na Amana uliyokabithiwa na Mungu na familia yake, ukiona umeshindwa mrudishe kwao kwa Amani, msituulie dada zetu kwa visirani vyenu.
ClassmateBaltazar engonga
Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!??.
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani anawapiga mkikosea!?, Unampiga mtu mangumi, mateke.
Kwanini msimalize migogoro kwa majadiliano badala ya kupigana!?.
Nini maana ya kuwa kiongozi wa nyumba!?. Mke ni dhamana na Amana uliyokabithiwa na Mungu na familia yake, ukiona umeshindwa mrudishe kwao kwa Amani, msituulie dada zetu kwa visirani vyenu.
Mleta mada ndio kachezea kichapo kisha kakimbilia huku JF kutafuta huruma.Kwa nini alichukua nguo ya mwenyewe na kuigawa bila ya kupata ruhusa kutoka kwa mmiliki wake???
Kwahy kama ni Cha mtu hiyo inakupa haki ya kutaka kutoa uhai wake kisa buku 3!?.Umeshindwa kusuluhisha huo ugomvi umekimbilia mtandaoni kuleta udaku cha mtu ni cha mtu usikiguse hata kikioza mpaka mwenyewe akupe ruksa haya lete hiyo buku tatu kama ni rahisi!
Ukipata mtoto mlee katika njia impasayoUhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!?
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani anawapiga mkikosea!? Unampiga mtu mangumi, mateke.
Kwanini msimalize migogoro kwa majadiliano badala ya kupigana!?
Nini maana ya kuwa kiongozi wa nyumba? Mke ni dhamana na Amana uliyokabithiwa na Mungu na familia yake, ukiona umeshindwa mrudishe kwao kwa Amani, msituulie dada zetu kwa visirani vyenu.
Chanzo cha tatizo ''Root cause'' ni kugawa mali bila ruhusa ya muhusika,Huruma ya nini!?, Nimeleta kwakua ni mambo yapo kwenye jamii na wahusika ni nyie , sasa tusiseme!?.
Kataka kutoa uhai au kapiga mtu!Kwahy kama ni Cha mtu hiyo inakupa haki ya kutaka kutoa uhai wake kisa buku 3!?.