Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Mume kwa mdogo wangu anahitajika

Kuoa au kuolewa ukiwa na miaka 22-25 ni sawa na kutoka disco saa6 wakati ndo linapamba moto
 
Mambo ya kizungu hayo! kaka anamtafutia dadaye mwenza!!!!!!!!!
 
Hii ni mila ya wapi kaka kumtafutia mwanaume dada yake, tena kwakumpigia debe kabisa …
 
Mkuu;
Hakika nakuonea huruma sana. Hujui unalofanya kabisaaa. Tuseme limejitokeza jitu kweli kweli lenye masifa hayo uliyotaja, yaani masifa ya dume la mbegu. Dada kamkubali, kumbe ni kambale, dume sharubu tu. Linajua kuwafyatua watoto kwa kuwa elim ni bure.
Chakula halileti, matunzo nongwa si lawama utabeba weye?? Je, akiwa tyson na kila kukicho dadako ana ngeu na huku kisha mtotoa vitoto utakuwa mgeni wa nani.
Usiyachochee mapenzi, acha yaanze na kukua yenyewe. Hiyo ndo raha ya kupendana.
 
Hii ni mila ya wapi kaka kumtafutia mwanaume dada yake, tena kwakumpigia debe kabisa …
Hivi ni lazima kila kitu tufuate mila? Hizi mila walioanzisha walikuwa na maana yao na kwa mahitaji ya wakati wao. Anachokifanya jamaa huenda ikawa ni chimbuko la mila mpya na pengine bora Zaidi. Tuache kuwa too conservatives, twende na wakati wakuu!!
 
Watu walio potoka ndio huacha mila zao nakuishi kama manyani nk
 
Nimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?

Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?
HUMU JF NI SAWA NA HUKO NDO MANA HATA WEWE UMEWEZAKUCHANGUIA ACHA ROHO MBAYAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom