Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
anagalizo lako linakazia avatar yakoMkuu kwanza hongera kwa ujasiri kujitoa kumtafutia dada yako mume. Haya sasa tuma wasiliano ya dada ako PM.
Angalizo:
Kwanza uhakikishe yupo serious na hana kasoro, na mipaka yako iishie tu kutuunganisha basi.
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
akue Mara ngapiMuache akue kwanza
sio madume.mumeYaani kumtafutia mdogo wake madume ni kumjali???! Are you serious?? huh?
Usimsapoti huyu kumtafutia mme mdogo wake ni udhalilishajiSijawahi kutafutiwa mwanaume wala kutafuta.
Mpaka aweze kujitongozesha mwenyeweakue Mara ngapi
Usimsapoti huyu kumtafutia mme mdogo wake ni udhalilishaji
Inamaana kashindwa kupata wanaume mpaka atafutiwe,tena atafutiwe na kaka yakeAnamdhalilisha kivipi?
0677287265 nichekiMdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
anaogopa watu wasije wakaanza kula embe changa kwa magadiMiaka 22 mbona bado anamuda au umechoka kumlisha ugali wako unatafuta msaada?
Hivi ni lazima kila kitu tufuate mila? Hizi mila walioanzisha walikuwa na maana yao na kwa mahitaji ya wakati wao. Anachokifanya jamaa huenda ikawa ni chimbuko la mila mpya na pengine bora Zaidi. Tuache kuwa too conservatives, twende na wakati wakuu!!Hii ni mila ya wapi kaka kumtafutia mwanaume dada yake, tena kwakumpigia debe kabisa …
Watu walio potoka ndio huacha mila zao nakuishi kama manyani nkHivi ni lazima kila kitu tufuate mila? Hizi mila walioanzisha walikuwa na maana yao na kwa mahitaji ya wakati wao. Anachokifanya jamaa huenda ikawa ni chimbuko la mila mpya na pengine bora Zaidi. Tuache kuwa too conservatives, twende na wakati wakuu!!
HUMU JF NI SAWA NA HUKO NDO MANA HATA WEWE UMEWEZAKUCHANGUIA ACHA ROHO MBAYAAAAAAAAAAAANimependa unavyomjali mdogo wako, ila huko hata labda unapofanya kazi hujaona mtu?
Najua ni ngumu kumpa marafiki yako, ila hata marafiki hawana wandugu etc?