MUME/MKE ni ndugu au rafiki?

MUME/MKE ni ndugu au rafiki?

ahh kumbe leo ni nane nane....nilishasahau
 
ni rafiki ndio maana mnaweza kufuta uhusiano wenu yaani kuachana/kutengana kwenye ndoa..
 
ni zaidi....ni mpenzi wangu....
 
ni urafiki unaozaa undugu, na hata mkiacha urafiki unakufa bali undungu unakuwepo palepale hasa inanoga pale mnapokuwa mna watoto/mtoto
 
mKE SI NDUGU YAKO BANA, ANGEKUWA NDUGU YAKO USINGE MDUU!!!
 
aisee ni rafiki tu, angekuwa ndugu asingelala na mtoto wako wa kambo, au mdogo wako, au hata mama yako kifreemason zaidi! lol
 
Cacico ooooooooooooooooooo unatisha kwa comment
 
Me naöna ni ndugu pale mnapopata watoto lakini pia anaplay role ya best friend
 
Ni shosti yako tu coz there is no DNA match at all
 
ni ndugu kwani hata ukimuacha mkeo or mumeo bado shemeji zako wakikuona popote lazima wakuite shemeji
 
Mke siyo ndugu wala siyo rafiki ila ni mke tu.
 
Halafu leo nimeambiwa na fazaa nikagonge futari kwake,ngoja niwahi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom