Mume mpenda ugomvi

Mume mpenda ugomvi

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
MUME MPENDA UGOMVI

Kila siku akirudi nyumbani hutafuta vijisababu visivyo na msingi.........
Siku hiyo mke akajitahidi kuweka mazingira safi.
Sebuleni pakafagiliwa kufutwa na kupangwa vizuri,
Chumbani kila kitu safi,
Watoto wameogeshwa wanang'aa,
Mke kajipamba kama siku ya harusi.
Mume kuingia akaangaza huku na huko kila kitu poa,
Kukaa kwenye kochi...mara akafoka....
"Mama Evans! Mama Evans!"
Mke Abee Mume wangu!
Mume Liko wapi lile vumbi lilokuwa hapa kwenye coffee table??
Mke Si nimelifuta mume wangu kwani kuna nini?
Mume Kuna namba ya simu muhimu nilikuwa nimeandika juu yake!!
Mke mmmmhh!! Baba Evans!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom