Mume muislam anahitajika

Mume muislam anahitajika

babyz

New Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
4
Reaction score
6
Habari,

Natafuta mume muislam aliye na hofu na Mungu. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea awe mkoani kilimanjaro au Arusha.

Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa.

Shukrani
 
Nakutakia mafanikio mema katika kutafuta Mola atatimiza ndoto zako!
 
Duh!! Utaki mtoto wa kufikia ila mama yake poa?
 
unge uchuna apo kwenye mtoto akikuoa ndio unamwmabia ila kila la kheri.
 
Wewe umekosea tangazo!! Ungesema namtafuta baba wa mtoto wangu!
 
Kwanini una mtoto bila kuolewa?

Unahitaji Muislam wa dhehebu lipi hasa? Shia, Answaar Sunni, au wa Immam Hussein ?
 
Wakina Dada bado me nawakumbusha tu kuwa
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaumme =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayari
Million 200 =wapo jela na wengine machizi
wanabaki billion 1
Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mashoga
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = Watoto.
30% = Vijana.
15% = Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66
Sasa ninyi endeleeni kukataa wanaumme
 
Wakina Dada bado me nawakumbusha tu kuwa
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaumme =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayari
Million 200 =wapo jela na wengine machizi
wanabaki billion 1
Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mashoga
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = Watoto.
30% = Vijana.
15% = Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66
Sasa ninyi endeleeni kukataa wanaumme
chanzo cha statistics&logistics?
 
Back
Top Bottom