Mume muislam anahitajika

Mume muislam anahitajika

Abdoool niachane na mke wangu mzungu nije nioe utopolo huu haiwezekani.
.
Kiumbe gani huyo nayemwabudu? Yule anayetaka tusali tumeangalia uelekeo wake?


Umefuata njia ya yesu kuoa mke mzungu kama yeye??

Yesu huyo na vifaa vyake


1591002294093.png
 
Sina maneno mengi

Sifa zangu:
25yrs
Maji ya kunde
Sina kazi
Muislam

Ninayemhitaji:
Kuanzia 28-32yrs
Rangi yoyote
Awe na chochote cha kumpa rizki
Muislam

Karibuni
Nitumie picha yako PM.
 
Sina maneno mengi

Sifa zangu:
25yrs
Maji ya kunde
Sina kazi
Muislam

Ninayemhitaji:
Kuanzia 28-32yrs
Rangi yoyote
Awe na chochote cha kumpa rizki
Muislam

Karibuni
Nna 36 vipi huwezi nifikiria, kwengine kote nakidhi
 
Back
Top Bottom