Mume Mwema anatafuta mke

Mume Mwema anatafuta mke

Mandazi

Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
79
Reaction score
121
Natafuta mke wakuoa! Mwenye Mapenzi Mema,Mcha Mungu

Mimi nina miaka 34 kwa sasa,nipo Dodoma nafanya kazi serikalini, Dini yangu ni Mkiristo Roman Catholic

Sifa za mke! Mwenye mapenzi mema,mcha Mungu.

Mengine hayana nafasi kwangu. Aliye serious aje DM
 
Na awe na chura

Hicho kigezo nimekuongezea mkuu maana naona ulikuwa umekisahau
 
Namimi ngoja niweke uzi wangu watafuta wake wajiandae[emoji2]
 
Back
Top Bottom