Ndoa ya upako2019
Member
- Sep 25, 2017
- 7
- 4
Hellow,
Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25.
Lengo kubwa kua na muda mwingi wa kufahamiana, ambapo yapo mambo mbalimbali ya kufanya pamoja tukiwa ni marafiki wenye malengo ya kuoana.
Tutashirikiana kuweka malengo ya kimaendeleo hususani, miradi mbalimbali, kununua assets ambazo zitarahisisha ukuaji wa ndoa yetu.
Ndoa sio swala la kukurupuka linaitaji muda wa kufahamiana pande zote, ndg wa mwanamke na wa kiume. Kujenga mizizi imara ili tusiteteleke pia tutakua tumekomaa katika urafiki wetu na kufunga pingu za maisha atayekua tayari ani PM kwa mawasilianao zaidi.
Sina ubaguzi wa mke ni mtakaye awe anajitambua vizuri na anajua nini maana ya ndoa, awe tayari kufuata makuzi urafiki, uchumba, ndoa hatua tatu hizo kwangu ndio kipaumbele changu kwani huwezi mpata mwanamke leo ukasema mfunge naye ndoa wakati hamfahamiani vizuri matokeo yake ni ndoa kuvunjika lakini kwa kupitia hatua hizo tutajenga ndoa imara na yenye amani na furaha pia itakua ni yakuigwa katika jamii kwani tutakua ni msaada kwa jamii inayotuzunguka, pia katika urafiki, uchumba, ndoa tutaishi kwa kufuata hatua zote za dini mpaka itakapo halalishwa rasimi.
Awe amejiajiri/"kuajiriwa kwani mimi pia ni mwajiriwa, awe na umri wa miaka 35-25, awe tayari kupima HIV, awe na hofu ya Mungu kwelikweli. Sina ubaguzi wa dini, kabila, wala rangi isipokua weupe wa dukani siuitaji kwa maana nitajua tu kutokana na viashiria vilivyopo, awe tayari kuishi mahali popote Tanzania, avumilie muda uliopo na hatua zilizopo ili kujenga mizizi ya kiurafiki, mizizi ya kiuchumba na hatimaye ndoa.
HII NI NDOA YENYE UPAKO KUISHI KWA FURAHA NA AMANi BILA MAWAA.
Karibu sana uliekusudiwa na Mungu kwani mke mwema anatoka kwa bwana sio kanisani naomba ni PM tuanzishe maisha yenye kumpendeza Mungu, hivo kama wewe ni mwanamke unasoma ujumbe karibu, hutojutia ni upendo wa dhati, pia tuma namba ya simu.