Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

Naona hapa Maneno "Wasichana/Wavulana" yametawala,mm nilifikiri mapenzi ni kwa ajili ya Wanawake na Wanaume tu!!

Its immaturity kuanza mjadala ambao mm nilidhani ni mzito kwa subject kwa kuanza kuhusisha Maumbile na tabia,Its pathetic and naivety!!
Peleka FB!!
 
Naona hapa Maneno "Wasichana/Wavulana" yametawala,mm nilifikiri mapenzi ni kwa ajili ya Wanawake na Wanaume tu!!Its immaturity kuanza mjadala ambao mm nilidhani ni mzito kwa subject kwa kuanza kuhusisha Maumbile na tabia,Its pathetic and naivety!!Peleka FB!!
fb yanaruhusiwa haya? Na humu nani anayekataza?
 
lakini kuna akina dada wana yapenda hayo madole kila m2 na chachuzi lake
 
Kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.

mhh apana.....wana VTU vikubwa.....
 
mhh apana.....wana VTU vikubwa.....
Nadhani ndio uuaji anaouzungumzia Naz kama nimemuelewa , ingawa watu wanadhani ni wauaji kwa kuchoma visu, ni mikia tu jamani!Au vipi Naz?
 
kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.
*f**u**c**k** u
 
Aiyaaaaaa! Hii noma sasa, wapi wanapunguza vidole nikapunguze fasta isije ikala kwangu?! For the time being inabidi kila nikiongea na bidada mikono itulie mifukoni, kudadadadeki!!
 
Kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.

na mdada ukiliona lina mashavu kama andazi la gengeni basi hata likitoa mahari mwenyewe usiowe. naomba nisiulizwe zaidi, yalinikuta!
 
nina bahati,je na wanawake wenye vidole virefu vya kati?
 
Kwanza kabisa jihadharini na wanaume wenye kidole cha katikati kirefu sana zaidi ya vingine (urefu uliopitiliza) ni wakatili sana na wauaji.

Uliwasiliana na Mnajimu maarufu Sheikh Yahya Hussein kabla hajakwenda kuzimuni juu ya hili? Vinginevyo labda utufahamishe ulifikiaje huu mwafaka ambao una utata mzito..............
 
Back
Top Bottom