Mume mwema

Mume mwema

Ova

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
46
Reaction score
31
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.

Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto.
Miaka 30 na kuendelea
Awe anaishi Dar es salaaam.
 
Aise naona hapa nitaokota embe dodo kwenye mwembe maana kwenye vigezo leo vimepungua sana.
 
Mimi hapa ila nina mtoto wa kwanza (huyu sijasingiziwa)

na saivi nina mwingine nimeambiwa mtu ana ujauzito wangu

ila nina vigezo bwana,we usijione utapata mtoto unweza ukawa mgumba

utanikumbuka nakwambia,usiniache nipite hivi hivi we dada/mama shauri lako.
 
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.

Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto.
Miaka 30 na kuendelea
Awe anaishi Dar es salaaam.
Miaka 30 ushabanduliwa sanaaa... no way kwa sasa nakadate kitoto cha miaka 20 ndo kimeingia Chuo mwaka wa kwanza.
 
Back
Top Bottom