Mume mwema

Mume mwema

Rudisha avatar ya zamani saivi huna mvuto[emoji57][emoji57]

Upo kama Zumaridi[emoji35]
FB_IMG_1574777964267.jpeg
 
30 year kizazi hakijaonja mtoto! We lazima upimwe kizazi, Mara nyingi huwa mnasumbua kubeba mimba kutokana na age
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.

Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto.
Miaka 30 na kuendelea
Awe anaishi Dar es salaaam.
 
Weka mawasiliano

Back
Top Bottom