Kwa umri huo, kama atakuwa hajawahi kunasa, basi ni mgumba.Karibu sana, nina miaka 32 ni mkiristo mcha Mungu nimejiajiri naishi kanda ya kati.
Nataka mke mweupe, mwembamba na mrefu, asiwe amewahi kutoa mimba.
Njoo Pm Fasta kabla Wanawake wa JF #awaja Nirubuni
Na Nna A ya vigezo vyko
Naunga mkono hoja mh mjumbeNikutakie kila la kheri, na Mungu akufanyie wepesi kwenye hitaji la moyo wako
Kwa umri huo, kama atakuwa hajawahi kunasa, basi ni mgumba.
Miaka 30 ushabanduliwa sanaaa... no way kwa sasa nakadate kitoto cha miaka 20 ndo kimeingia Chuo mwaka wa kwanza.Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.
Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto.
Miaka 30 na kuendelea
Awe anaishi Dar es salaaam.