EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Miaka 30 ushabanduliwa sanaaa... no way kwa sasa nakadate kitoto cha miaka 20 ndo kimeingia Chuo mwaka wa kwanza.
Rudisha avatar ya zamani saivi huna mvuto[emoji57][emoji57]Aisee
Kweli kabisa, naunga mkono hoja. Avatar ya zamani irudi.Rudisha avatar ya zamani saivi huna mvuto[emoji57][emoji57]
Upo kama Zumaridi[emoji35]View attachment 1281894
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.
Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na mimi sina mtoto.
Miaka 30 na kuendelea
Awe anaishi Dar es salaaam.
Kama hutaki kuiona weka kwenye ignore listRudisha avatar ya zamani saivi huna mvuto[emoji57][emoji57]
Upo kama Zumaridi[emoji35]View attachment 1281894
PoaKama hutaki kuiona weka kwenye ignore list
Hii ndo.sura halisi so tuvumilie maana tulizani ni kadadaa kumbe NungayembeKweli kabisa, naunga mkono hoja. Avatar ya zamani irudi.
[emoji23] [emoji23]Hii ndo.sura halisi so tuvumilie maana tulizani ni kadadaa kumbe Nungayembe
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Afadhali kumbe unajuaHii ndo.sura halisi so tuvumilie maana tulizani ni kadadaa kumbe Nungayembe