Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Babaake amekimbia, anaogopa majukumu...karibu, usijali nna kipato cha kutosha cha kumuhudumia mtoto 100%...just that awe na baba tu

Wasiwasi wangu kwenye mazingira kama haya ni kuwa, mimi nitahudumia huyo mtoto kama wangu, baada ya mtoto kukua kidogo, mara atajitokeza baba yake na kukuambia anataka kuona damu yake, atafanya mpango wa kuonana na mtoto na hapo usumbufu utaanza, mara leo naenda visiting mimi na babake, mara sijui nini, na kwakuwa yeye ndio alikukimbia, mara mnanza mawasiliano, na mimi naonekana zoba.

- Uko tayari kumwachia mzazi mwenzio mara utakapojifungua na mtoto kukua kiasi cha kulelewa na babake.

Angekuwa baba wa mtoto ni marehemu, nisinge jali hata kidogo.
 
Mininasifazote ilaniambie kwanini hujaolewa na huyo mwenye mtoto.
 

Haina shida mtoto akikua ntamwachia tu
Ha
 
wakuswampa hahahah
 
Application fees?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…