Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua poa sana, hapo tutaongeza mmoja tusifa na vigezo nnavyo, naomba nami nije na mwanangu 1yr tusaidiane kulea. mamake anajifanya kunisusia
Wazee pia wanakaribishwaChangamoto hizi, bahati mbaya nimezeeka ngoja niwaachie vijana!
Asante ...ila napo spafahamu piaDis qualified
Nahisi kuna mtu anatafutwa hapaWazee pia wanakaribishwa
sijawahiUlishawahi toa mimba ngapi!
Sio makombo ni perception yako tuChumba tayari kina mpangaji darari una nadi huyo uliyempa akafunga huyo ndiye sahihi kwako mwingine hawezi kula makombo
Hata wa kumchezea hapati humu labda akatafute kule bongo movie na bongo flavourUtabaki kujinadi humu kila siku mume bora hutoka kwa mungu siyo hapa utaishiwa kuchezewa tu na kuachwa.
jina tu la makuswampa maana yake wewe hutulii nyumbani aukipi kikuchekeshechacho