Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
[emoji8][emoji8][emoji8]
 
Imeandikwa mume bora anapatikana kwa mungu ww unamtaka kwenye jamii forum, na mashart mengi kuliko hata ya mikopo ya bank
 
Kama uliweza kuzaa na asiye na hivyo vigezo leo ndio utoe vigezo ukifikisha umli wa miaka 40 utaitaji mume kigezo hawe mwanaume tu ndio tutakuja
 
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,

umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli,
Asiwe mnene sana,
Asiwe mfupi sana,
Awe na elimu kuanzia degree na kuendelea,
Awe mfanya kazi au Mjasiliamali.
Awe tayari ku adopt mtoto nitakaye mzaa muda si mrefu.

Sifa za muombaji
Msichana , Black beauty natural
Urefu 155cm
elimu , degree ya kwanza
Muajiriwa wa taasisi moja mjini Dsm
Mcha Mungu
Mkatoliki

Mwenye sifa hizo aje PM, Mwanaume mweupe sana haitajiki, pia mchaga hatakiwi, wengine woote karibuni. napokea application hapa
Vp tukituma CV tunaambatinsha na vtu gan?
 
p
Mnakosea sana mnaotafuta watu, picha ni kitu cha msingi sana unajua hiyo siyo kazi kwamba upeleke cv tu inatosha, hiyo kitu mbali na hizo sifa kuna sifa za ziada ambazo zina nguvu sana huenda kuliko hata hizo cv, weka hata pasport size bana.
icha haiwezi kutumwa kwa kila mtu
 
Kama uliweza kuzaa na asiye na hivyo vigezo leo ndio utoe vigezo ukifikisha umli wa miaka 40 utaitaji mume kigezo hawe mwanaume tu ndio tutakuja
abda nikifika iyo 40, kwasasa vigezo muhimu
 
Nashukuru mungu kuninyima sifa tajwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo aliyekupa mimba tayari kakukimbia? Hebu toa sababu za kutokuwa nae.
 
Back
Top Bottom