Mume/ mwenza mkristo 35 - 45

Mume/ mwenza mkristo 35 - 45

cute b,
Si ndo hapo. Akiweka umri hali italeta mantiki zaidi na atapata watu walio serious kwa maana watakuwa washajithamni kuwa umri alio nao wataweza kwenda sawa.

Obviously hiyo 27-35 inadondokea hapo kwenye 32-34.
 
tunaweza ku burgain huo umri angalau unipunguzie kidogo?
 
Back
Top Bottom