Mume na Mchepuko wamweka Njia Panda...

Mume na Mchepuko wamweka Njia Panda...

Tutajuaje kua Aku hakutaka Sam aone kipimo? Asingekitupa kwenye ndoo ya taka.

Tutajuaje kua Aku atacheat hata baada ya huu msala kupita? Amemsaliti mtu aliyeanza naye tangu chuo huyu loyalty haipo damuni.

Tutajuaje kua Aku ana akili za darasani tu? Eti hajui siku zake.

Tutajuaje kama hii stori ni kweli? Inasound kama uongo and we all know truth is stranger than fiction.
Kuna kauzembe Aku amekafanya si uongo...pengine hakutarajia haya yote....

Kuhusu ukweli wa stori....nimeileta kama nilivyokalishwa chini nakuambiwa....
 
Kinga iliyo salama ni kuutambua mzunguko sahihi japo unaweza kuvurugika kutokana na sababu mbali mbali.

Kinga zingine zina madhara ikiwemo ajali unayoisema.

Kama kweli mtu hujaamua kulea basi nyegezi isikuzidi akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke akishazaa, mzunguko huwa unakawia kuanza na unaweza bila kujua maana bleed inaweza isionekane. Hapo ndio kuna hatari kubwa ya ajali(kisa cha ajali ya namna hii kipo humu).

Ila kama mwanamke hajawahi kuzaa, atashindwaje kutambua mzunguko wake ama uwe mzunguko constant au unaobadilika badilika.

Kama anaujua na kajitumbukiza basi aogelee mwenyewe(unajua kina cha bahari/mto/kisima na ukaamua kuingia mwenyewe baadae uanze kusumbua watu kuomba msaada...).

Apambane na hali yake[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Swali langu liko nje kidogo ya mada kuna wanandoa wanaoana afu hawako teyari kuanzisha familia??

Daktari + Fundi hawana uwezo wakulea mtoto kisa mkopo wa vyuo??

Aku atakua na shida ya uzazi hawezi kuwa amedate na mwenzie miaka yote hiyo tangia shule asimpe hata mimba...!hii itakua ya joe tu [emoji57]
 
Asubiri mtoto azaliwe kwanza ndio afanye maamuzi. Kama mtoto niwa joe aolewe nae na kama mtoto akiwa niwa sam avunje mahusiano na joe maisha yaendele.
Ikitokea mtoto akawa niwa joe alafu akamshikisha sam inaweza leta shida baadae
 
Kwa hivyo...itabidi avunje ndoa.....maana mumewe hayuko tayari kuwa familia.
Na akizaliwa wa mumewe?
Asubiri mtoto azaliwe kwanza ndio afanye maamuzi. Kama mtoto niwa joe aolewe nae na kama mtoto akiwa niwa sam avunje mahusiano na joe maisha yaendele.
Ikitokea mtoto akawa niwa joe alafu akamshikisha sam inaweza leta shida baadae
 
Bila kujua...??? Excuse me
Ndio sababu hakuwa amedhamiria....
Haijawahi kukutokea ukawa na hisia na mtu sababu tu yaukaribu na sio kama ulijipanga?
 
Back
Top Bottom