Mume na mke kibaruani

Mume na mke kibaruani

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Wanachakarika kweli kutafuta hela ya mboga...nimeipenda hii.
Ila bado kuna tatizo kubwa sana linaendelea kwenye bongo zao..hasahasa mke
Au sijui alijisahau akatinga kiwalo chake alichopenda kutokea kabla ya ule msala wa kuwekwa rumande..
Au labda 'wind pipe' inaendelea na tiba so ikaachwa ipate hewa..mi sijui
nawatakia kila la heri

IMG_20190413_182450_803.JPG
IMG_20190413_182450_803.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom