Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
MUME NA MKE MKISHIRIKIANA, KULEA WATOTO NI RAHISI NA RAHA KAMA KUNYWA MAZIWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndio maana unatakiwa uwe Makini Sana kutafuta mwenza wako. Ndio maana unapaswa ufanye ngono Salama, hasa mwanamke. Sio kutobolewa tobolewa kiholela na kupata mimba bila mipango. Utapasuka, utahenyeka, na dunia itakuwa katili kwa mtoto wako.
Sio serikali yenye jukumu na watoto wako. Wala sio mahakama.
Kulea ni KAZI rahisi Sana na tamu, ikiwa mke na mume watashirikiana na kusaidiana. Yaani ni kama kunywa maziwa Fresh.
Changamoto zinazojitokeza mkiwa pamoja ndio utamu wenyewe wa Kulea na kuitwa Mzazi. Tofauti na mkiwa hamshirikiani wala kusaidiana. Changamoto hugeuka matatizo, mikosi na huzaa ugumu katika Malezi.
Hakuna KAZI ngumu kama Kumlea mtoto bila wazazi kushirikiana. Ni kipengele kikubwa Sana.
Kulea na kutunza watoto wenu mnahaki Sawa na wajibu Sawa Kwa kusaidiana. Sio mmoja atoe zaidi kuliko mwingine. Hapo ugumu utaanza kuonekana.
Malezi ya watoto ni magumu kwa sababu mzazi mmoja anapewa wajibu na majukumu zaidi ya mwingine. Jambo ambalo huanza kuleta Msalaba.
Mkeo akiwa na mimba, hiyo ni mimba yenu wote. Yeye kaibeba tuu lakini wajibu ni wenu wote. Shirikiana na msaidie kwa nguvu zote.
Nimesema Mke kwa sababu ndiye mnayepanga kuzaa wote. Na Mke ndiye mwenye wajibu wa kukuzalia. Hao wengine ni viherehere vyao.
Zingatia kuna Mke mmoja na Wake wengi.
Hii itamaanisha Mwanamke asikubali kuzaa na mwanaume asiyemumewe. Hicho ni kiherehere.
Hakikisha umeolewa hata ukiwa mke wa tano. Mke ni mke tuu.
Lakini kuzaazaa kwa kiherehere au kutojitambua alafu hukuolewa hata mke wa tatu. Huko ni kumtafutia mtoto matatizo Tuu!
Kama unataka kuzaa, mwambie huyo mwanaume nataka kuzaa lakini siwezi kuzaa bila kukuoa. Upo tayari kuwa mke wa pili. Kuliko uzae kama kahaba.
Sasa kipi Bora kwako uzalishwe na mume wa MTU bila Ndoa kwakua hutaki kuwa mke mdogo lakini upate heshima ya kisheria, kimaadili, kijamii na kiroho.
Au uolewe mke wa pili ndipo uzae upate heshima, na mtoto wako awe safe?
Tunapozungumzia uzazi mwanamke ndiye Key Player katika sekta hii.
Haya umeolewa au kuoa!
Kwa nini unategea kulea watoto.
Ooh! Mwanaume ndiye anatakiwa kuhudumia watoto wake, kwani sio wako?
Alafu vimama vya hivi ndio huleta Jamii maskini na tegemezi. Jitu linashindwa Mpaka na wanyama.
Saidianeni KAZI na majukumu wajinga nyie.
Haya, wewe ni Mwanaume, Baba, unatafuta pesa, umerudi nyumbani hutaki kumsaidia mkeo KAZI(nazungumzia wale wasio na wafanyakazi wa nyumbani).
Hutaki kufua,
Hutaki kuosha vyombo,
Hutaki kupika,
Hutaki kumuogesha na kukaa na mtoto tena uliyemzaa wewe mwenyewe. Tchii! Mjinga mkubwa wewe.
Kazi yako kushika Remote, na kuanza kutaka kuhudumiwa kama Mfalme.
Ukiulizwa, unasema wewe ni mwanaume unatafuta pesa. Ukiambiwa pesa ziko wapi, unafoka kama jinga. Kutoa pesa ya chakula chakueleweka hutoi. Watoto kula Kila siku maharage na bamia,.
Nguo tangu mwakajuzi.
Mkeo kanga moja kama sands ya maiti.
Alafu unakaa kama mfalme ati simsaidii mke wangu KAZI. Kwa sababu sio jukumu lako. Unafanya malezi kuwa magumu boya weee!
Alafu aliyekudanganya kumsaidia mkeo KAZI ni kujisusha ni Nani kwani alikuloga na alikuwa mjinga wa kiwango cha juu kabisa.
Haya kuna wale wanawake matutusa, yanasema hayawezi kumpa mumewe pesa. Lakini yenyewe yanataka yapewe. Haya ndio utayasikia yakisema Malezi au ndoa ngumu.
Lakini Familia yenye upendo, ushirikiano, kujaliana hakuna kitu kigumu hata kimoja.
Pesa Mtashirikiana kuzitafuta kwani nizakwenu.
Kazi zenu mtafanya pamoja kwani zinawahusu wote.
Kulea watoto mtalea pamoja.
Kupenda penda heshima na vyeo, kuabudiwa kijingajinga ndio kunafanya mambo kuwa magumu.
Falsafa ya uongozi, Aliyemkubwa kwenu na awe kama Mtumishi ~ Yesu wa Nazareth.
Chochote unachotaka kufanyiwa mfanyie mkeo/mumeo alafu uone kama familia na malezi yatawasumbua.
Acha nipumzike
Robert Heriel
TaikonMaster
Kwa SASA Dar es salaam