Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA
Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini:
"Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu walihusika sana kupigania uhuru.
Baba akiwa kwenye Rungwe Cooperative na wakati ndio nguvu ya nchi pamoja na Kilimanjaro na Bukoba.
Jina: Chief Jotam Mwakalinga Mwakajila.
Kama utaweza kumwingiza kwenye kundi hilo nitafurahi.
Hiyo picha ni ya mwaka 1957. Shukrani."
John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU iko kwenye mikono ya watu binafsi.
Bahati mbaya nimepokea hii picha kutoka mtu wa tatu.
Nitafurahi sana kama mwenyewe atajitokeza.
Mbeya anaejulikana zaidi ni Bint Matola.
Itapendeza kupata jina la mama yetu mke wa Chief Jotam Mwakalinga Mwakajila na taarifa nyingine zaidi.
Picha hii naiweka katika Jumu la Picha za Wapigania Uhuru.