Mume na Mke Wazalendo Waliopigania Uhuru: Mr na Mrs Jotam Mwakalinga Mwakajila

Haiwezi kuwa kweli kuwa waislamu wamehusika kwa asilimia 90 ya uhuru wa Tanganyika. Hili jambo wewe unathibitishaje. Unazipataje hizo asilimia.
 
Kwahiyo uhuru wa Tanganyika umepiganiwa na waislam?
Tena kwa jinsi nnavyomsoma Alama Mohamed Said kwa ushahidi kabisa, Waislam walianza kupogania uhuru kwa kumwaga damu zao na kupteza maisha yao kutoka kwa wakoloni, Soma kuhusu Abdurauf wa maji maji, umeahi kumsikia?

Soma kuhusu Mtwa Abdallah, wa kalenga, umewahi kumsikia?

Soma kuhusu Abushiri wa Pangani, umewahi kumsikia?

Anza na hao kabla hujarukia kwa kina Kimweri na Mirambo.
 
James...
Ndiyo sababu ya mimi kuandika kitabu, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," (London 1998).

Prof. Mwingereza ndiye aliyehariri kitabu changu.

Kama wewe unadhani mimi nasema uongo waulize Waingereza wenyewe wanaijua historia hii.
 
Kwahiyo Mzee unaamini kuwa waislam ndiyo walipigania uhuru wa Tanganyika! Au ndo walioleta uhuru wa Tanganyika? Mzee naomba utafakari kauli zako.
Kwamba wengine wote yaani asilimia 10 ya Watanganyika walikaa kusubiri ukombozi wa wa Waislam? Na unajiita mwanahistoria?
Niliwahi kutana na wazee wa historia wa Pwani kama Mzee Halimoja lakini hakuwahi kuwa na hii fallacy.
Unaharibu. Historia ya Tanganyika na uhuru wake umepiganiwa na jamii zote. Hakuna hata mmoja aliyekubali kutawaluwa na wazungu. Na siyo Tangayika tu. Ni afrika nzima. Dini isikupofushe macho ukashindwa kuuona upande mwingine.
Hapa kuna nafkiri wanafunzi wako labda naona wanakutetea si kwa kigezo Cha objectivity ila kwa kigezo Cha dini. Na wewe bila hiana unawapotosha.
 
Tena kwa jinsi nnavyomsoma Alama Mohamed Said kwa ushahidi kabisa, Waislam walianza kupogania uhuru kwa kumwaga damu zao na kupteza maisha yao kutoka kwa wakoloni, Soma kuhusu Abdurauf wa maji maji, umeahi kumsikia?

Soma kuhusu Mtwa Abdallah, wa kalenga, umewahi kumsikia?

Soma kuhusu Abushiri wa Pangani, umewahi kumsikia?

Anza na hao kabla hujarukia kwa kina Kimweri na Mirambo.
Kwanini udini unatupotosha kiasi hiki?
 
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Michango yako inaonesha una udini ila Sasa duh this is too much! Ingekuwa hivyo hilo vuguvugu la uislam lisingishia hapa. Lingeenda na Kenya na Uganda. Kwamba waislam wa Tanganyika walikuwa na Nini Cha ziada Cha asilimia 90 kuzidi wengine. Huku ni kujilisha upepo wa historia.
 
James...
Ukweli ni huo kuwa African Association iliundwa na Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hili kundi sikulitengeneza mimi.
Historia ya TANU ndiyo ilivyoanza.

Kwa nini majina haya hayakutajwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika jibu nawaachia wasomaji.

Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa akiuza kadi za TANU misikitini na kuhasisha Waislam wajiunge na chama kupigania uhuru.

Kwa nini wengine hawakufanya haya?

Jibu nakuachia wewe.
Kuundwa kwa chama Fulani haimaanishi ndiyo kuwa na asilimia 90 za kupigania uhuru. Leo Kaburu anaweza kusema aligombania Uhuru wa South Africa kwa maana alikuwa na chama Cha siasa tangu 1920s na mpka Sasa wanachama Cha kikaburu? Jibu ni hapana. Uhuru wa Tanganyika uko diverse. Wenye dini wasiokywa nazo wote walishiriki. Iweje mjipe haki na uhuru wetu. Wewe andika sifa za mababu zako lakini msijimilikishe hakimiliki ya uhuru.
 
James...
Waislam hawana mfanowe katika historia ya uhuru.
Ushahidi wote nimeweka hapa.
Mimi siko hapa kufanya utani.
Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said, kwa heshima na taadhima, sio kweli kuwa Waislamu hawana mfanowe kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika, bali Waislamu wamepata bahati ya kupata watu wa kuwasemea na kuwaadikia zaidi kuliko hao wa dini nyingine na juhudi zilizofanywa na TANU jijini Dar es Salaam ambako ni kweli Waislamu ni wengi, ndizo highlighted zaidi hadi kuwavimbisha vichwa baadhi ya watu kuja humu na kujitapa kuwa TANU kilikuwa chama cha Kiislamu!, Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga sisi
baadhi ya watu wa kutopelekwa pelekwa tulipinga kule na tunakupinga siku zote unapochomekea religious sentiments kuwakuza na kuwatukuza watu wa dini fulani huki ukiwadogosha watu wa dini nyingine. Tunaukataa urongo kwa jina lolote. Aliyeuleta humu urongo wa TANU ni chama cha Kiislamu, ni Dada yako FaizaFoxy, juzi kati kuna Masheikh wa Bakwata, wakaleta urongo fulani kwenye Baraza la Iddi, kuhusu hoja hii

Ni FaizaFoxy aliyekuja kuwanyoosha.

Hakuna ubaya wowote, kwa mtu yoyote ku amplify mchango wa watu wa dini yake kwenye jambo lolote, lakini sio haki kuwa amplify watu wa dini yake kwa kuwadogosha watu wa dini nyingine!.

Mfano hai ni huu, hakuna Muislamu hata mmoja aliwahi kuwa kiongozi Mkuu muasisi wa chama chochote cha ukombozi Tanganyika. Kiongozi muasisi wa kwanza wa AA ni Mkristo Cecil Matola, kiongozi muasisi wa kwanza wa TAA ni Mkristo Dr. Vedastus Kyaruzi na kiongozi muasisi wa kwanza wa TANU ni Mkristo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, nikiibuka na kusema vyama viliongozwa na Wakristu kwasababu hakukuwa na Waislamu wenye uwezo huo, itakuwa sio sawa.

Endelea kutuletea simulizi nzuri za wapigania uhuru wa nchi yetu, ila uhuru wa Tanganyika umepiganiwa katika kanda mbalimbali, mchango mkubwa in terms of rasilimali fedha, ulitolewa na Wakristu kina Mzee John Rupia, Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kazkazini ndizo zilizokuwa na michango mikubwa ya fedha kwa TANU kuliko zile thumni thumni za kina yakhe!.

Siku zote mimi nakukubali sana kwa kipaji chako na uwezo wako wa uzimulizi, wewe ni orator, tuna ma orator wachache sana Tanzania wa kutafuta kwa tochi, you are one among the few, ila mahali pekee unapoharibu ni kwenye religious sentiments za kuegemea upande fulani ndio maana niliwahi kukuanzia uzi humu Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

Mwisho nakushauri sasa Mkuu Maalim Mohamed Said, it's about time, andika kitabu kuhusu maisha yako, kitakuwa ni No. 1 Best Seller in Tanzania.

Nawatakia majadiliano mema.

P
 
Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir alikuwa akiuza kadi za TANU misikitini na kuhamasisha Waislam wajiunge na chama kupigania uhuru.

Kwa nini wengine hawakufanya haya?
Wako Viongozi wengi Wakristo walifanya mengi kuisaidia TANU na kuhamasisha watu wakajiunga na TANU, kule Kanda ya Ziwa, Kaskazini, Kati a Kusini, lakini hawakupata bahati ya kutokea mtu kuwaandika, kama bahati aliyoipata, Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir, kumpata mtu wa kumuandikia, kama wenzetu Waislamu walivyopata bahati ya mtu wa kuwaandikia vitabu vya mchango wa Waislamu wa Tanganyika katika uhuru wa Tanganyika.
P
 
Kwahiyo Mzee unaamini kuwa waislam ndiyo walipigania uhuru wa Tanganyika! Au ndo walioleta uhuru wa Tanganyika? Mzee naomba utafakari kauli zako.
Kwamba wengine wote yaani asilimia 10 ya Watanganyika walikaa kusubiri ukombozi wa wa Waislam? Na unajiita mwanahistoria?
Niliwahi kutana na wazee wa historia wa Pwani kama Mzee Halimoja lakini hakuwahi kuwa na hii fallacy.
Unaharibu. Historia ya Tanganyika na uhuru wake umepiganiwa na jamii zote. Hakuna hata mmoja aliyekubali kutawaluwa na wazungu. Na siyo Tangayika tu. Ni afrika nzima. Dini isikupofushe macho ukashindwa kuuona upande mwingine.
Hapa kuna nafkiri wanafunzi wako labda naona wanakutetea si kwa kigezo Cha objectivity ila kwa kigezo Cha dini. Na wewe bila hiana unawapotosha.
James...
Usinilishe maneno.
Makala na paper zote nilizoandika kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika zipo hapa.

Zote zinasema historia iliyoandikwa ya uhuru wa Tanganyika mchango wa Waislam umefutwa.

Historia ya TANU iliyoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni imemfuta Abdul Sykes.

Hayumo.

Si yeye tu na wote ambao mimi nimeandika historia zao katika kitabu cha Abdul Sykes.
 
Wako Viongozi wengi Wakristo walifanya mengi kuisaidia TANU na kuhamasisha watu wakajiunga na TANU, kule Kanda ya Ziwa, Kaskazini, Kati a Kusini, lakini hawakupata bahati ya kutokea mtu kuwaandika, kama bahati aliyoipata, Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir, kumpata mtu wa kumuandikia, kama wenzetu Waislamu walivyopata bahati ya mtu wa kuwaandikia vitabu vya mchango wa Waislamu wa Tanganyika katika uhuru wa Tanganyika.
P
P,
Nipe majina yao tafadhali.
 
Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said, kwa heshima na taadhima, sio kweli kuwa Waislamu hawana mfanowe kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika, bali Waislamu wamepata watu wa kuwasemea na kuwaadikia zaidi kuliko hao wa dini nyingine na juhudi zilizofanywa na TANU jijini Dar es Salaam ambako ni kweli Waislamu ni wengi, ndizo highlighted zaidi hadi kuwavimbisha vichwa watu kuja humu na kujitapa kuwa TANU kilikuwa chama cha Kiislamu!, Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga sisi
baadhi ya watu wa kutopelekwa pelekwa tulipinga kule na tunakupinga siku zote unapochomekea religious sentiments kuwakuza na kuwatukuza watu wa dini fulani huki ukiwadogosha watu wa dini nyingine. Tunaukataa urongo kwa jina lolote. Aliyeuleta humu urongo wa TANU ni chama cha Kiislamu, ni Dada yako FaizaFoxy, juzi kati kuna Masheikh wa Bakwata, wakaleta urongo fulani kwenye Baraza la Iddi, kuhusu hoja hii

Ni FaizaFoxy aliyekuja kuwanyoosha.

Hakuna ubaya wowote, kwa mtu yoyote ku amplify mchango wa watu wa dini yake kwenye jambo lolote, lakini sio haki kuwa amplify watu wa dini yake kwa kuwadogosha watu wa dini nyingine!.

Mfano hai ni huu, hakuna Muislamu hata mmoja aliwahi kuwa kiongozi Mkuu muasisi wa chama chochote cha ukombozi Tanganyika. Kiongozi muasisi wa kwanza wa AA ni Mkristo Cecil Matola, kiongozi muasisi wa kwanza wa TAA ni Mkristo Dr. Vedastus Kyaruzi na kiongozi muasisi wa kwanza wa TANU ni Mkristo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, nikiibuka na kusema vyama viliongozwa na Wakristu kwasababu hakukuwa na Waislamu wenye uwezo huo, itakuwa sio sawa.

Endelea kutuletea simulizi nzuri za wapigania uhuru wa nchi yetu, ila uhuru wa Tanganyika umepiganiwa katika kanda mbalimbali, mchango mkubwa in terms of rasilimali fedha, ulitolewa na Wakristu kina Mzee John Rupia, Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kazkazini ndizo zilizokuwa na michango mikubwa ya fedha kwa TANU kuliko zile thumni thumni za kina yakhe!.

Siku zote mimi nakukubali sana kwa kipaji chako na uwezo wako wa uzimulizi, wewe ni orator, tuna ma orator wachache sana Tanzania wa kutafuta kwa tochi, you are one among the few, ila mahali pekee unapoharibu ni kwenye religious sentiments za kuegemea upande fulani ndio maana niliwahi kukuanzia uzi humu Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

Mwisho nakushauri sasa Mkuu Maalim Mohamed Said, it's about time, andika kitabu kuhusu maisha yako, kitakuwa ni No. 1 Best Seller in Tanzania.

Nawatakia majadiliano mema.

P
P,
Cecil Matola na Dr. Kyaruzi historia zao ndani ya African Association zinafahamika.

Majority ya waasisi wa African Association 1929 walikuwa Waislam na yeye kuwa President ndivyo ilivyotakiwa.

Dr. Kyaruzi kuchaguliwa kuwa President wa TAA 1950 aliingizwa na Schneider Abdillah Plantan na Abdul Sykes akawa Secretary.

Nyerere kuchaguliwa kuwa President wa TAA 1953 ni baada ya kujadiliwa na Hamza Mwapachu, Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika).

Historia hii nimeieleza mara nyingi.

Hii ndiyo Dar es Salaam ya nyakati zile na siasa zake ndiyo hizo kuwa lazima Wakristo wawepo katika harakati hizo vinginevyo wazee wetu walihofu wenzao watakuwa nje.

Ndiyo maana utaona ingawa Nyerere alikuwa President wa TANU lakini vikao vya siri vya TANU vikifanywa nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Kikao cha kujadili barua ya Nyerere aliyoandikiwa na Wamishionari kuchagua siasa au kazi barua hii ilijadiliwa nyumbani kwa Clement Mohamed Mtamila Mtaa wa Kipata na Sikukuu.

Katika nyumba hii ndipo Halmashauri Kuu ya TANU ilipokaa mwaka wa 1955 kujadili barua ile.

Hii ndiyo historia ambayo wengi hamkuwa mnaijua.
 
Asante sana kwa historia hii.
P
 
Back
Top Bottom