mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"
MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"
Je!, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza??