Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wajubaa
.
Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.
.
Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa.
.
Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu kilichopo kweye Sheria ya Makosa ya Jinai ya India kinachosema Kwamba Mme Hawezi Kumbaka Mkewe.
.
Aidha kifungu hicho pia kipo katika Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu ya Tanzani.