Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ww Haujawahi Kubakwa? Kubaka Ina Maana ya kulazimishwa kufanya sex intercourse bila idhini yakoKibongo bongo wanabakwa na wanatulia kimya, wakiogopa kujidhalilisha.
Mke anabakwa vipi na mumewe!!?..acheni ujinga!!..akattwombe wapi akiwa na hamu!!?..Kibongo bongo wanabakwa na wanatulia kimya, wakiogopa kujidhalilisha.
Duh.... kupiga puli mbele ya mkeo ni ubakaji piaWajubaa
.
Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.
.
Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa.
.
Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu kilichopo kweye Sheria ya Makosa ya Jinai ya India kinachosema Kwamba Mme Hawezi Kumbaka Mkewe.
.
Aidha kifungu hicho pia kipo katika Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu ya Tanzani.
View attachment 2221787
ππππMke anabakwa vipi na mumewe!!?..acheni ujinga!!..akattwombe wapi akiwa na hamu!!?..
Mke anabakwa vipi na mumewe!!?..acheni ujinga!!..akattwombe wapi akiwa na hamu!!?..
Ushahidi??
Mume anambaka vipi mke wake!?..mke ni nini!?..alipokua anaolewa alidhani anaenda kufanya nini na mumewe!?Kwa mujibu wa Penal Code hakuna kosa kama hilo Tanzania, ila litakua kosa tu kama kuna separation.
.
Mke hawezi kubaka, mme ndo anabaka take judicial note MKuu
.