Ktk maisha mtoto usimuoneshe udhaifu wala maovu yakohivi shetani alipompitia diamond aliwachukua pia na dadake na mamake? maana wote walikuwa wanaona yanayoendelea chumbani kwa zari na domo lakini walikuwa wanaona sawa tu...
Ungemuona kipindi anasoma Tandika secondary ndo ungeamini kuwa vipodozi vina nguvu sanaMbona sijaona hata picha moja ya petiti na Hamisa wakitembea? Alafu huyo mtoto hamisa hapo kale alikuwa wa hovyoooo, alipojua maduka ya wachina tu basi mtoto kawa msupuu.