Mume wa Dada ake Diamond (Esma) Kumbe ni zilipendwa na Hamisa!!

Mbona sijaona hata picha moja ya petiti na Hamisa wakitembea? Alafu huyo mtoto hamisa hapo kale alikuwa wa hovyoooo, alipojua maduka ya wachina tu basi mtoto kawa msupuu.
Kweli waKenya wanatuharibia kiswahili. Kifimbocheza asipochapa watu bakora hili neno "msupuu", linataka kutawala sana.
 
Kwa Wavaa Kobazi mbona hiyo kawaida sana kula sehemu ambayo nduguyo/rafik/mwanao kashapita. Mstaafu wa kuwashwa washwa ndo ilikuwa zake
 
Ila ukipata binti mvaa hijab hakika ukipata mwanamke sio sisi wagalatia jitu ukishalioa linakuletea kiburi utadhani nn sijui
 
Mume wa Dada ake Diamond, Petitiman alishawahi kuwa na mahusiano na mwanadada Hamisa.

Kwa hiyo Diamond na shemeji yake Petitiman wameshatembea na Hamisa. Na Huku Hamisa na Wifi yake Esma wameshatembea na bwana Mmoja(petit man.)

Hizi ni picha za Zamani za Petitiman na Hamisa View attachment 596085 View attachment 596086View attachment 596090

Mtu na wifi yake (Esma na Hamisa)
View attachment 596087

Hamisa ,Esma na mama Diamond
View attachment 596088

Esma akiwa na mume wake Petitiman
View attachment 596089
Kama unadhani hawa wamechanganyana sana basi unakosea sana,
sikiliza hii ya kwangu kisha ufananishe na hiyo ya kina Diamond,

"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu na tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu wa kambo hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe wa mkwe wake.

Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa kambo alipata mtoto wa kiume. mtoto huyo wa kiume alikua ndugu yangu kwa sababu tulichangia baba mmoja. lakini kwa vile alikua ni mtoto wabinti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake mdogo wangu.

Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa msichana ambaye ni ndugu wa mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake. Hali hiyo ilimfanya pia baba yangu kua shemeji wa mtoto wangu ambaye ndugu yake wa kike kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu.

So hao kina daimond kawaida tu hayo mbona
 
Mmh! Hii ni zaidi ya Nyansaka - Mzunguko
 
Back
Top Bottom