Mume wa Dida(Edzen) asaka mke

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ' Dida, ' mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo.

Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1 , Ezden Jumanne . Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar , Ezden alisema kuwa kutokana na kupitia kipindi kigumu cha kuachana na aliyekuwa mkewe amedai kuwa hafikirii kuoa kwa sasa lakini kama akija kuoa tena atamhitaji mwanamke mcha - Mungu , mwenye heshima, asiye mlevi na atakayejitambua kama ni mke wa mtu.

"Sidhani kama nitaoa hivi karibuni , lakini kama nitaoa tena mwanamke ninayemtaka ningependa awe mwenye heshima, anayefuata dini, asiyependa ulevi na atakayejitambua kama mke wa mtu, " alisema Ezden .
 

Attachments

  • 1405751091161.jpg
    34.4 KB · Views: 2,586
Alianzaje kuoa lile kahaba kama anataka mwanamke mwenye maadili mema?
 
Alianzaje kuoa lile kahaba kama anataka mwanamke mwenye maadili mema?

Ndo namshangaa sijui anavuta bangi kama mkewe, sasa kama alikuwa anataka mwanamke ambaye hanywi pombe na anayejielewa kwa dida alifuata nini? Au ndio sabuni ya roho?
 
Ndo namshangaa sijui anavuta bangi kama mkewe, sasa kama alikuwa anataka mwanamke ambaye hanywi pombe na anayejielewa kwa dida alifuata nini? Au ndio sabuni ya roho?

nina bonge la umbea....nitakutafuta
 
Usinitanie binamu, kama haupo tight nakufuata sasa ivi ikuluni kule

Poa poa binamu...yaani ni balaa na aibuuu.....mambo ya jana mitaa ya kwa babukijana...ngoja nikufatiemo
 
Last edited by a moderator:
Poa poa binamu...yaani ni balaa na aibuuu.....mambo ya jana mitaa ya kwa babukijana...ngoja nikufatiemo

Ebu nipe kitu cha breakfast ya maana , nipo apa masikio juu kama dish la dstv nasubir ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Yani kijana handsome kaenda kuoa gubegube mpenda mipasho hyo si hatar kuna watu wa kuoa lakini si yule
 
Huyu alikwenda kumchuna Dida pale, kama ni Maadili Toka uchumba lazima alikuwa anajua Dida hana Maadili , anamdomo kama chuchunge alianzaje kumuoa ?? keshapata alichokitaka sasa anataka Kimodel mwenzake , hana lolote !Mahusiano ya siku hizi ni kufanyiziana tu , Watu wanaangalia nini atapata , hasa wanawake wenzangu muwe makini sana !
 
Hana mpya na yeye atunyamazie,anakumbuka shuka kushakucha? ivi alikua hamuoni kwenye magazeti? atafute mwengine amfuge manake wanaume kama hawa ndio wale Super Marioooo............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…