warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ' Dida, ' mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo.
Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1 , Ezden Jumanne . Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar , Ezden alisema kuwa kutokana na kupitia kipindi kigumu cha kuachana na aliyekuwa mkewe amedai kuwa hafikirii kuoa kwa sasa lakini kama akija kuoa tena atamhitaji mwanamke mcha - Mungu , mwenye heshima, asiye mlevi na atakayejitambua kama ni mke wa mtu.
"Sidhani kama nitaoa hivi karibuni , lakini kama nitaoa tena mwanamke ninayemtaka ningependa awe mwenye heshima, anayefuata dini, asiyependa ulevi na atakayejitambua kama mke wa mtu, " alisema Ezden .