Mume wa Dida(Edzen) asaka mke

Huyu ana kichwa kibovu anapenda vya bure ndio maana ana juta sasa hivi!

Ina maana hayo hakuyajua mwanzo? Huyu ni muongo ana tafuta huruma tuu!

Ajifunze kwanza kuwa kumpiga mwanamke si suluhu ya matatizo !
 
Ed jipange tafuta cha kwako utaoa bint mwingine mzuri tu huyo uliekuanae alikua kishanshuda tu we bado mdogo wala usijutie jifunze tokana na makosa usirudie kosa
 

Huyu jamaa si ndo yule alokuwa kiss fm ya mwanza na akapewa kichapo na dudubaya? (edzen the rocker). Halafu akaenda kupiga picha nyumbani kwa akina dudubaya. Ha ha ha, kumbe alikuwa ameolewa na millionaire dida?
Tutasikia mengi ikiwemo tetesi za dida kuwa "punda". Pole marioo edzen, Time will tell
 

alikua anataka umaaruf mjini na kaupata hadi jf
 

Nikiona maandishi ya blue tu najua binamu Nyasamaki ndani ya nyumba, napenda sana upekee wako kwenye font color
 
Last edited by a moderator:
Nikiona maandishi ya blue tu najua binamu Nyasamaki ndani ya nyumba, napenda sana upekee wako kwenye font color


ha ha ha binanmu umenikumbusha mbali na huyo mtuu.. ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Ebu nipe kitu cha breakfast ya maana , nipo apa masikio juu kama dish la dstv nasubir ubuyu

ahahahahhh, binamu wewe kiboko, eti masikio juu kama dish la dstv, nimechekaje, ukishapewa huo umbea na madame B, tunaomba uulete hapa kama ulivyo nasi tuushuhudie though naogopa kusutwa mie
 
naona yupo bize na dada yetu flora lymo..huyu mwenzetu anapenda wanawake wa dizaini ya ufyatu....soon tutasikia kaenda london kwa mbuta nanga
 

 
Mbuta nanga anajinadi kuwa mke wa ezden
 
akwende zake huko
yeye mwenyewe anaonekana mtu wa starehe wakati anamuoa Dida hakujua hayo

wamefanya kazi wote muda mrefu na walikuwa wanajuana vizuri

Mabadiriko yanaanzia kwako
 
akwende zake huko
yeye mwenyewe anaonekana mtu wa starehe wakati anamuoa Dida hakujua hayo

wamefanya kazi wote muda mrefu na walikuwa wanajuana vizuri

Mabadiriko yanaanzia kwako

mbona haka kavulana kanaonekana ni kadogo kiumri kwa dida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…