Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu Dida, mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo.
Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1 , Ezden Jumanne . Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar , Ezden alisema kuwa kutokana na kupitia kipindi kigumu cha kuachana na aliyekuwa mkewe amedai kuwa hafikirii kuoa kwa sasa lakini kama akija kuoa tena atamhitaji mwanamke mcha - Mungu , mwenye heshima, asiye mlevi na atakayejitambua kama ni mke wa mtu.
Sidhani kama nitaoa hivi karibuni , lakini kama nitaoa tena mwanamke ninayemtaka ningependa awe mwenye heshima, anayefuata dini, asiyependa ulevi na atakayejitambua kama mke wa mtu, alisema Ezden .
Huyu alikwenda kumchuna Dida pale, kama ni Maadili Toka uchumba lazima alikuwa anajua Dida hana Maadili , anamdomo kama chuchunge alianzaje kumuoa ?? keshapata alichokitaka sasa anataka Kimodel mwenzake , hana lolote !Mahusiano ya siku hizi ni kufanyiziana tu , Watu wanaangalia nini atapata , hasa wanawake wenzangu muwe makini sana !
Una uhakika na hilo mkuu??
Teh teh kesha jitia gundu kwa dida kwa kuchukua mkosi

Ebu nipe kitu cha breakfast ya maana , nipo apa masikio juu kama dish la dstv nasubir ubuyu
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu Dida, mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo.
Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1 , Ezden Jumanne . Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar , Ezden alisema kuwa kutokana na kupitia kipindi kigumu cha kuachana na aliyekuwa mkewe amedai kuwa hafikirii kuoa kwa sasa lakini kama akija kuoa tena atamhitaji mwanamke mcha - Mungu , mwenye heshima, asiye mlevi na atakayejitambua kama ni mke wa mtu.
Sidhani kama nitaoa hivi karibuni , lakini kama nitaoa tena mwanamke ninayemtaka ningependa awe mwenye heshima, anayefuata dini, asiyependa ulevi na atakayejitambua kama mke wa mtu, alisema Ezden .
akwende zake huko
yeye mwenyewe anaonekana mtu wa starehe wakati anamuoa Dida hakujua hayo
wamefanya kazi wote muda mrefu na walikuwa wanajuana vizuri
Mabadiriko yanaanzia kwako
mbona haka kavulana kanaonekana ni kadogo kiumri kwa dida?