Mume wa jinsi hii........kama mke utavumilia kweli?

Mume wa jinsi hii........kama mke utavumilia kweli?

Oooops! That is too junky for me, I got a graceful body that responds too positively with food. Well, you ar a big boy, neh!?

Naongelea appetite ya nanilii, kama baba ameloose appetite shauri ya ku-diet-ishwa mfululizo (sexual aneroxia), maybe mdada aliloose appetite kwa sababu the menu was monotonous? Forgive my thinking...
Much to your chagrin, I just had the baconator double topped with juicy applewood smoked bacon in between a premium buttered, toasted bun.

I also topped it off with mayo, honey dijon mustard, ketchup, and American cheese. Now that's not just a sandwich, but a tasty treat.



Kukosa hamu ya kula kunaweza kukawa ni dalili ya ugonjwa ama upungufu wa kitu mwilini. Ni vizuri kukaa na kujaribu kutafuta chanzo cha tatizo na ufumbuzi wake!
 
Pretty umenikumbusha nikiwa mtoto (primary/sec), kuna familia tulikuwa tunasali kanisa moja. Yule baba alikuwa analeta familia yake kanisani, anapaki kwenye bar next to the church. Ibada ikikaribia kuisha anapaki kanisani na kulala garini. Babangu mie alikuwa na excuses za kutokuja church kila siku, lakini hakuwahi kutupeleka church. Imagine, nilikuwa na admire yule baba, na kutamani wangekuwa close na dingi ili wapige wote mtungi sie tukiwa church.
Kuna familia baba ana ratiba yake ya wknd (labda small house inahusika,lol) na mama ana ratiba yake na wanae! Kuna kijana krismas anaenda mkoa mwingine kusherehekea na marafiki zake na anamuacha mkewe na mwanae washerehekee alone. Afadhali huyo mpelekaji na anasikiliza miziki yake garini. Heri nusu shari mamitto!
........kweli heri nusu shari, kuliko shari nzima.
 
Huyo baba ana tatizo la low self esteem. Inawezekana hata hana confidence na mwili wake (si ajabu hata hizo mechi chache anangojea giza liingie na tanesco wam-support). Inawezekana malezi aliyopata na mazingira aliyopitia yamechangia. Dada ana kazi moja tu, vile wameshaoana, amjengee high self esteem. Amsifie mumewe mbele za watu na yeye akishuhudia kwenye mazuri yake, wakiwa alone amsifie ama na watoto wao amsifie pia.
Kuna vitu vidogo tu, kama kumshukuru mwenza kwa kujali familia, kununua chakula, na hata sex; vitu vinavyochukuliwa kama wajibu lakini ukishukuru kwa kukubali kufanya wajibu wake itamsaidia kubadilika na kutaka kufanya ya ziada.

one sided analysis

what if there are underlying factors kama infidelity, poor communication, kupotea mvuto wa sex (uchafu, maugomvi, cheating, visasi, kauli chafu)

we havent heard a chance to listen to the other part
 
Ofcoz it is one sided manake tukimsaka mume nae (ukumbuke hii ni 2nd hand reporting) tutahitaji fund ya kufanyia utafiti huu,lol!

Sasa baba, uchafu na ugomvi ndo vimfanye huyu mzee apeleke familia hadi huko 'out' na kubaki garini? Ofcoz niliwaza kwa chale la 9 huenda jamaa ana ka-small world kake ana-connect nako kwa raha, so anapenda kuwa alone.

Come to think of that: hivi jf addiction haiwezi kuwa ni ka-emotional cheating flani?
one sided analysis

what if there are underlying factors kama infidelity, poor communication, kupotea mvuto wa sex (uchafu, maugomvi, cheating, visasi, kauli chafu)

we havent heard a chance to listen to the other part
 
Byshernger, pole na kichapo ulichochezea jana
Hope leo unaweza fikiri vizuri ni wapi ulikosea.
 
......ujue tatizo nililoliona mie ni mdada kuwa mpweke, sasa unaenda out na watoto mume hayupo.....huko huko outing unaona couple nyingine na watoto wao. Hapa lazima mdada ajisikie yupo lonely.

kumbuka si wanaume wote wanapenda outing! Tatizo kubwa ninalo liona hapa, huyu mwanamke inaonekana humlazimisha mumewe kufanya asivyopenda! Outing si lazima saaana hasa kama mwenzio hajisikii! Cha muhimu mwanamke atumie njia za ushawishi kuliko kuforce! Mf: asiombe tena kwenda outing aone reaction itakuwaje! Kuhusu mambo ya ndani, hasa tendo la ndoa, ni kazi ndogo sana kwa mwanamke! Yeye ajitume tu kuandaa mazingira, mf: kumchangamkia kwa kumkaribia sana pindi wawapo chumban, kuvaa nguo znazoshawshi, kwenda nae bafuni na kumchokoza chokoza kiutundu, na utundu mwingine wa kike!
 
Ngoja nione michango ya wanawake kwanza ili nikija namaliza kabisa!Ila Kongosho umechangia vyema!Chukua tano mama!
 
Kama huyo baba hakua hivyo mwanzo kuna uwezekano huyo mwanamama ameshiriki sana kuwafikisha kwenye hali waliyofikia. Ila sasa kwasababu watu hua hawapendi kukubali au hata kuona kwamba wao ndio haswa chanzo cha matatizo basi lawama zote zinaelekezwa kwa mume.
Ukute kamfokea jamaa wa watu mpaka kapoteza kujiamini. . .au ndio zake kumsema sema vibaya kwa watu mpaka anashindwa kuungana nae wakitakiwa kuwa na watu wengine au sio mpenzi tu wa kufanya hivyo. . .sema kama hajawahi kuchukua muda kumsoma mwenzake hawezi jua hata hilo. Matokeo yake yeye anafanya kila kitu kiwe about HER and no one else. Huko chumbani nako ukute kuna kipindi alikua anamnyanyasa jamaa na "sijisikii/kichwa kinauma" nyingi mpaka akazoea alafu sasa hivi anatafuta mchawi kwingine. Pengine hajiweki kwenye mazingira tamanishi wala hasemi yeye anamhitaji jamaa.

Kwasababu mengi hayajulikani na ni dhahiri huyo mama yeye hajakwambia matatizo yake ni yapi sina lawama za kumshushia huyo baba. Mwambie huyo dada AJICHUNGUZE.
 
BTW huyo mume anavumilika sana kama mhusika akiacha kulalamika na kujaribu kufanyia kazi hicho alichonacho.

Mwanaume asiependa sana hiyo motoko is actually a good catch. . all about family kinda man.Ndio maana hata kwenye mitoko yao anahakikisha anawapeleka na sio anasema tu gari hiyo hapo nendeni msinisumbue. Huyo mama anaweza akatumia huo mwanya kuwa karibu na mume wake pamoja na watoto wawapo nyumbani badala ya kujali wawapo wamezengukwa na watu, maana anachotaka yeye ni kuonekana yuko na mume na sio kwamba anakua lonely. Angekua lonely angekua anaachana na hiyo mitoko wakati mwingine na kutulia na mume wake nyumbani. . . yani hapa angesema hua hataki kuungana nao ili akalewe zake bar ningemwelewa, ika kwasababu sivyo ajue kabisa huyo mume anakosa attention toka kwa mke wake maana sio ajabu kabisa ukakuta hata akisindikizwa mpaka ndani anasahau kaja na mume, story zinanoga na watu wengine tu na kujiweka mbali ndio namna ya mume kuonyesha hajisikii kuwa left out/unappreciated kwa watu.

Sex mwanaume hata akiwa amekasirika/huzunika ukajitahidi kulainisha lugha na kupunguza sauti nyumbani atajitoa mwenyewe tu achilia mbali mdada kusema na kuonyesha kwamba muda umefika. Au hamjawahi kuona mtu anambusu/kumbatia mwenzake kimahaba huku macho yamejaa machozi na moyo umejaa majonzi?

Aache kumlazimisha watoke watoke na badala yake apunguze yeye kutoka kwa muda. Na wakiwa nyumbani afanye kazi ya ziada kumfanya mume wake afurahie kampani yake alafuukitokea mtoko wa muhimu ambembeleze baada ya kumfanya ajisikie vizuri kama mume hatomfuata nyuma kama kondoo.
 
kumbuka si wanaume wote wanapenda outing! Tatizo kubwa ninalo liona hapa, huyu mwanamke inaonekana humlazimisha mumewe kufanya asivyopenda! Outing si lazima saaana hasa kama mwenzio hajisikii! Cha muhimu mwanamke atumie njia za ushawishi kuliko kuforce! Mf: asiombe tena kwenda outing aone reaction itakuwaje! Kuhusu mambo ya ndani, hasa tendo la ndoa, ni kazi ndogo sana kwa mwanamke! Yeye ajitume tu kuandaa mazingira, mf: kumchangamkia kwa kumkaribia sana pindi wawapo chumban, kuvaa nguo znazoshawshi, kwenda nae bafuni na kumchokoza chokoza kiutundu, na utundu mwingine wa kike!



Uko sawa kabisa , haya mambo ya outing si muhimu sana ila unaweza kukuta mwenzio analikomalia kama vile ni jambo la maana sana. Unaweza kumkokota punda mpaka mtoni lakini uamuzi wa kunywa maji ni wake
 
Mleta mada, unaweza kumshawishi huyo mamaa kujiunga hapa JF ili tumsikilize moja kwa moja.Naamini kwa vile ww ni mtu wa pili huenda usiyafikishe yote yanayoshauriwa.Si rahisi kuyakumbuka yote.
 
Pengine huyo mdada anampeleka jamaa sehemu ambazo colleague wa huyo mdada wa kazini huwa wanakuwepo, na jamaa kama kweli ana hiyo low self esteem anakuwa akiwaona hao colleague esp wa kiume ananywea so anaona sio poa kuonesha mbele za watu anaamua ku chill kwenye gari.

Au inawezekana huyo binti amepoteza mvuto labda kwa kunenepa kupita kiasi sasa jamaa anajisikia embassed kwenda nae kwenye public ila hawezi kumwambia sasa na binti anashindwa kusoma mchezo.
 
ukipata raha sana
wakati mwingine unaanza kutafuta shida

huyu mama kashiba!

Yaani Kongosho umenena. Hizi mbona c tatizo! Mwambie mdada ajiadjust kwa kumpokea na kumchukulia mumewe kama alivyo. Pengine malezi yake yalikuwa hivyo atambadilishaje sasa hivi?!

Tatizo lipo kwenye tendo la ndoa. Hebu kwanza kabla ya kuchukua hatua aongee naye, ajichungue na yeye asijekuwa yeye ndo hasisimshi!
 
Wanawake wa siku hizi mna matatizo sana. Mnapenda maisha ya kuiga iga mpaka mnaona waume zenu kama wanamatatizo
 
Jamani huyu baba mbona mnamuonea?? ana kosa gani?? wanawake kweli nimeamini hawaridhiriki.....Unataka mlevi??mzururaji??ambaye hana mda wa kukaa na watoto?? kiwembe???....aghhhh
 
Yaani Kongosho umenena. Hizi mbona c tatizo! Mwambie mdada ajiadjust kwa kumpokea na kumchukulia mumewe kama alivyo. Pengine malezi yake yalikuwa hivyo atambadilishaje sasa hivi?!

Tatizo lipo kwenye tendo la ndoa. Hebu kwanza kabla ya kuchukua hatua aongee naye, ajichungue na yeye asijekuwa yeye ndo hasisimshi!

Huyu analinganisha mme wake na waume wa wengine.....anafanya kama kuna standard ya mme, na kimsingi anaweza kuwa hajui mahitaji yake ya mwanaume (anaiga na kulinganisha tu).......nadhani akifanya vyote alisema bado atataka vingine! (Kongosho kamaliza).

Japo hatujapata maelezo ya mme, ila huyu mke ana tabu kweli!
 
Oooops! That is too junky for me, I got a graceful body that responds too positively with food. Well, you ar a big boy, neh!?

Naongelea appetite ya nanilii, kama baba ameloose appetite shauri ya ku-diet-ishwa mfululizo (sexual aneroxia), maybe mdada aliloose appetite kwa sababu the menu was monotonous? Forgive my thinking...

au pia inawezekana alimpa ka-likizo ka lazima jamaa maybe baada ya mkwaruzano au tu dada alikosewa akajinunisha hata wiki nzima wakati jamaa ana mahitaji yake,na ikachukua muda ku-reconcile,niaminini mimi,kwa baadhi ya watu(kama mimi) inaweza kuharibu kabisa apetite ya 'chakula' (haswa kwa huyo mama) na huchukua muda kuisha.na haswa kama yeye ndo alikosea na hakutaka kurekebisha ndo kabisa,huko anakoendea jamaa atakuwa hata 'hamgusi' na sababu nyingi....mwisho nyumba ndogo!!
 
Back
Top Bottom