Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Kumbe wewe ukila kipondo! na nguvu huwa zinapungua?Ukute shost wake Pretty huwa anambonda mmewe na ndo maana jamaa anaishiwa nguvu.
Much to your chagrin, I just had the baconator double topped with juicy applewood smoked bacon in between a premium buttered, toasted bun.
I also topped it off with mayo, honey dijon mustard, ketchup, and American cheese. Now that's not just a sandwich, but a tasty treat.
Kukosa hamu ya kula kunaweza kukawa ni dalili ya ugonjwa ama upungufu wa kitu mwilini. Ni vizuri kukaa na kujaribu kutafuta chanzo cha tatizo na ufumbuzi wake!
ukipata raha sana
wakati mwingine unaanza kutafuta shida
huyu mama kashiba!
........kweli heri nusu shari, kuliko shari nzima.Pretty umenikumbusha nikiwa mtoto (primary/sec), kuna familia tulikuwa tunasali kanisa moja. Yule baba alikuwa analeta familia yake kanisani, anapaki kwenye bar next to the church. Ibada ikikaribia kuisha anapaki kanisani na kulala garini. Babangu mie alikuwa na excuses za kutokuja church kila siku, lakini hakuwahi kutupeleka church. Imagine, nilikuwa na admire yule baba, na kutamani wangekuwa close na dingi ili wapige wote mtungi sie tukiwa church.
Kuna familia baba ana ratiba yake ya wknd (labda small house inahusika,lol) na mama ana ratiba yake na wanae! Kuna kijana krismas anaenda mkoa mwingine kusherehekea na marafiki zake na anamuacha mkewe na mwanae washerehekee alone. Afadhali huyo mpelekaji na anasikiliza miziki yake garini. Heri nusu shari mamitto!
Huyo baba ana tatizo la low self esteem. Inawezekana hata hana confidence na mwili wake (si ajabu hata hizo mechi chache anangojea giza liingie na tanesco wam-support). Inawezekana malezi aliyopata na mazingira aliyopitia yamechangia. Dada ana kazi moja tu, vile wameshaoana, amjengee high self esteem. Amsifie mumewe mbele za watu na yeye akishuhudia kwenye mazuri yake, wakiwa alone amsifie ama na watoto wao amsifie pia.
Kuna vitu vidogo tu, kama kumshukuru mwenza kwa kujali familia, kununua chakula, na hata sex; vitu vinavyochukuliwa kama wajibu lakini ukishukuru kwa kukubali kufanya wajibu wake itamsaidia kubadilika na kutaka kufanya ya ziada.
Kumbe wewe ukila kipondo! na nguvu huwa zinapungua?
one sided analysis
what if there are underlying factors kama infidelity, poor communication, kupotea mvuto wa sex (uchafu, maugomvi, cheating, visasi, kauli chafu)
we havent heard a chance to listen to the other part
......ujue tatizo nililoliona mie ni mdada kuwa mpweke, sasa unaenda out na watoto mume hayupo.....huko huko outing unaona couple nyingine na watoto wao. Hapa lazima mdada ajisikie yupo lonely.
kumbuka si wanaume wote wanapenda outing! Tatizo kubwa ninalo liona hapa, huyu mwanamke inaonekana humlazimisha mumewe kufanya asivyopenda! Outing si lazima saaana hasa kama mwenzio hajisikii! Cha muhimu mwanamke atumie njia za ushawishi kuliko kuforce! Mf: asiombe tena kwenda outing aone reaction itakuwaje! Kuhusu mambo ya ndani, hasa tendo la ndoa, ni kazi ndogo sana kwa mwanamke! Yeye ajitume tu kuandaa mazingira, mf: kumchangamkia kwa kumkaribia sana pindi wawapo chumban, kuvaa nguo znazoshawshi, kwenda nae bafuni na kumchokoza chokoza kiutundu, na utundu mwingine wa kike!
ukipata raha sana
wakati mwingine unaanza kutafuta shida
huyu mama kashiba!
Yaani Kongosho umenena. Hizi mbona c tatizo! Mwambie mdada ajiadjust kwa kumpokea na kumchukulia mumewe kama alivyo. Pengine malezi yake yalikuwa hivyo atambadilishaje sasa hivi?!
Tatizo lipo kwenye tendo la ndoa. Hebu kwanza kabla ya kuchukua hatua aongee naye, ajichungue na yeye asijekuwa yeye ndo hasisimshi!
Oooops! That is too junky for me, I got a graceful body that responds too positively with food. Well, you ar a big boy, neh!?
Naongelea appetite ya nanilii, kama baba ameloose appetite shauri ya ku-diet-ishwa mfululizo (sexual aneroxia), maybe mdada aliloose appetite kwa sababu the menu was monotonous? Forgive my thinking...