Mume wa jinsi hii........kama mke utavumilia kweli?

rafiki hofu kwako,
halafu kweli hujanielewa..... nimesema sijawahi kusikia, siyo kuona. huyo wangu tu ananitoa jasho...........ndo maana sipati picha uvivu wa mwanaume, lol!
Hehehehe.... hongera kwa kuolewa na dume la mbegu......... Sasa huyo ndio mwanaume sasa!

Manake hukuolewa kwenda kumpikia na kumfulia manake hata dada zake wanaweza hiyo kazi.

Nawe usitoke jasho hovyo.... gangamala mtoto wa kike.... Kuleni raha maisha mafupi haya!

BTW mkwe wangu hajambo?
 
Mkwe wako hajambo............. vipi mkwe wangu huko boarding anaendeleaje? bye dad! ha haaaaaaa
 
Mkwe wako hajambo............. vipi mkwe wangu huko boarding anaendeleaje? bye dad! ha haaaaaaa
Heheheh... weekend tukajifanya kwenda kumtembelea.... pale getini tukaambiwa njia tuliyokuja nayo ndio hiyohiyo ya kurudia... damn!

Naamini katakuwa salama......... Tafazali ambia mkwe wangu asije kuwa na miguvu kama baba yake akanitengulia binti yangu kiuno eti:lol:
 
kwani hiyo shule haina visiting day? au ulijifanya nyie ndo mnamiss sana binti yenu?............ tena kwa mwanangu, baada ya sendoff mtatakiwa kurudi tena mkisikia ameshajifungua, kuja kuona mjukuu
tulivyokuwa primari nakumbuka tulisoma mtoto wa nyoka ni nyoka................ nina uhakika 100% huyo ndo babake............ furahia tu.......................
 
Hehehehe......... unataka kunambia atapatiwa burudani kama mie navyopatiwa na mamaye?
 
huyo jamaa ni MGEDA(Mjeshi balaa)
 

Hapo umenena.... nami ni mwanamke ila nasapoti hili......... clap clap clap
 
Kwasababu mengi hayajulikani na ni dhahiri huyo mama yeye hajakwambia matatizo yake ni yapi sina lawama za kumshushia huyo baba. Mwambie huyo dada AJICHUNGUZE.

Hayo ndiyo maneno!
 
Hayo mengine ni minor. Ila hilo la tendo la ndoa muhimu kulijadili, is a very important issue in marriage.
 
ILO TENDO LA NDOA WANAEFANYA Mara ngapi kwani isiwe anataka daily
Kwanza hujambo Smile? Vipi hali ya mama na habari za huko Msimbiji?
:focus:Hapo umesema la maana, na pengine kama walivyoeleza wengi, mdada anataka kupokea quantity ya sex tu bila ya kujali quality anayotoa. Inaonesha huyu dada ni mkoloni juu ya mumewe.
Kitu chengine ambacho hakujazungumzwa ni tafauti ya umri baina yao (ingawaje haiwezi kuwa tatizo kijuu juu, lakini mbele ya safari umri unaweza kuathiri mahusiano).
 
kuna jamaa yangu analalamika mkewe hapendi mapenzi anampa mara moja kwa mwezi na anampa kila kitu anadai anatafuta pa kupumzikia,kama vipi nipm tuwaunganishe.

kumbe wakati mtu analalamika kazi ngumu kuna mwingine anatafuta kazi.ni pm leoleo kabla huyu jamaa hajaenda safari ili wawe wameshajuana.
 
mimi napita hapa_maake sijaona kosa la mshkaji.
 
Atueleze je hajawahi kumnyima tendo la ndoa kwa muda mrefu wakati mwanaume anataka kwasababu zake binafsi? Hili nalo huchangia mwanaume kumwona mke wake kama mtu hatari na adui katika maisha yake na hukosa hata hamu ya kuwa naye. jiulize kama ya kutenda

Je anatimiza wajibu wake kama mke kwa mumewe au hampatiaji tendo la ndoa mpaka wagombane? kama ndivyo jamaa kaamua kubadili fikra zake na kukaa kimya ili aone kitakachotokea

Je kabla ya kuoana alikuwa hivyo yaani alikuwa na tabia hiyo au amebadilika ghafla na nini chanzo cha tatizo yaani cha kubadilika kwake

Wanawake mna vituko, jamaa akitaka sana mnadai ooh yaani jamaa hata nikiwa jikoni akiniona anadai nimpe:: wanaume wakirudisha majeshi na kuishi kama hana mke mnaanza kupiga kelele mwanaume wa hiv unawezaje kuishi naye? acheni undumila kuwili iweni na msimamo mmoja ili tujue jinsi ya kuwasaidia

aaaaaaaaah acheni vituko visivyo isha, mnajiabisha, kwani mwsihowe mnaonekana hamna msimamo
 
ukitaka kula nyama ya nguruwe kula aliyenona yaani ukitaka jambo usijidai hutaki wakati unataka
 

Nadhani tatizo mdada hataki kuchukua nafasi yake ya chini na pia kummuuliza jamaa ana tatizo gani, ajenge mazingira mazuri jamaa atamwambia ukweli, lkn kama anajifanya anajua mwanaume anamuacha aendelee katika ujinga
 
utii ni bora kuliko marijani yaani madini yenye dhamani kubwa kuliko madini yoyote uyajuayo na uasi/kiburi/ujeuri ni sawa na dhambi ya uchawi
 
atakuwa amebadili tabia ndo maana mume nae ameamua kumuangalia kma picha tu,pengine mapenzi yamehamishiwa kwa watoto baba amekuwa wa ziada tofauti na zamani. Mwambie akafundwe upya na shangazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…