Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Innalillah wainaillah rajiun! itabidi huyu mama asiolewe tena,akiolewa tena atakua amevunja rekodi ya kuolewa na wanaume wengi
 
....Pole sana Bibie Khadija.. uwe na moyo wa subira....R. I. P. diwani
 
Kama alikuwa kabarehe inatosha! Haya mambo hayana cha udogo!!!

Samahani,'haya mambo hayana cha udogo' unamaanisha nini? ya Komba na Lulu pia ni sahihi au? Usitolewe nje ya mada na wewe ukatoka kichwakichwa utaumia mkuu
 
Huyu mme wa ngapi ana mfia huyu Hadija Kopa?
 
Wadau network zinapotea, huyu mama ana waume wangapi? Aliyekufa ndie KOPA mwenyewe au?
 
Wadau network zinapotea, huyu mama ana waume wangapi? Aliyekufa ndie KOPA mwenyewe au?

Yule alikufa kitambo aliolewa na Serengeti boy Diwani wa maccm Bwagamoyo ndo hivyo tena mheshimiwa Mungu kamuwekea kikomo cha kuishi.
 
Back
Top Bottom