Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Pole sana Khadija kopa..
Mume ni mume...
Hasa ukizingatia alikuwa mdogo kwa khadija!
Kwani tango lilikua aliingii?Pole sana Khadija kopa..
Mume ni mume...
Hasa ukizingatia alikuwa mdogo kwa khadija!
hivi ni mume wangapi huyu anafariki ?Pole sana Khadija kopa..Mume ni mume...Hasa ukizingatia alikuwa mdogo kwa khadija!
Chonde chonde CDM msiweke mgombea kwenye hiyo kataR.I.P diwani
Kama alikuwa kabarehe inatosha! Haya mambo hayana cha udogo!!!
Chonde chonde CDM msiweke mgombea kwenye hiyo kata
Alazwe Anapostahiri.
Kwani huyu bibi ana wanaume wangapi hapa mjini.... Maana amezaa zaa hovyo...
Wadau network zinapotea, huyu mama ana waume wangapi? Aliyekufa ndie KOPA mwenyewe au?