Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

Tofauti ya umri haiondoi sifa ya kuwa mume au mke !
Shirikisha ubongo wako na mikono yako katika kuandika !

Achaneni nae huyo yaelekea na yeye alikuwa anafukuzia kwa akili yake ndogo akatoswa>>>>
R.I.P Diwani
 
Walikuwa wanapenda sana jamani, hili ni pigo jingine kubwa kwa Jembe letu Hadija Kopa baada ya msiba mzito wa mwanae kipenzi Omar.
 
Walikuwa wanapenda sana jamani, hili ni pigo jingine kubwa kwa Jembe letu Hadija Kopa baada ya msiba mzito wa mwanae kipenzi Omar.

bolded:speak for yourself,matter of fact ex me out
 
Yule alikufa kitambo aliolewa na Serengeti boy Diwani wa maccm Bwagamoyo ndo hivyo tena mheshimiwa Mungu kamuwekea kikomo cha kuishi.

Hapana aliye kufa nimume wake aliyekuwa anaishi naye nadhani mume wake wa awli waliachana walioona na huyu aliyefariki leo mwaka 2008.
 
Walikuwa wanapenda sana jamani, hili ni pigo jingine kubwa kwa Jembe letu Hadija Kopa baada ya msiba mzito wa mwanae kipenzi Omar.

Nikweli walikuwa wanapendana sana muda wote wanakuwa pamoja mara yingi sana walikuwa wanaonozana kwa safiri zao hata kwenye show mara zote walikuwa pamoja
 
Hapana aliye kufa nimume wake aliyekuwa anaishi naye nadhani mume wake wa awli waliachana walioona na huyu aliyefariki leo mwaka 2008.

Unamaanisha mzee Kopa?
 
Huko wanapaweza kina riz na familia yake maana ni wagagula kinoma nje ya ukoo huo lazima uchukue namba.
 
R.I.P Kama sikosei jana nilimuona Bi.khadija akiwa na makamu wa Rais kwenye maadhimisho ya Mazingira wilaya ya Nkasi kupitia ITV au wamekwisha tarakiana.
 
duh, pole mfiwa, jamani hicho kiti kinatisha,kila anayeshinda ntolee,,mmhhhuuu, kulikoni?
 
Mkuu kwani wewe kinachokusumbua hasa ni kitu gani, mbona hukulazimishwa kufungua uzi huu kama haukuhusu?
unaposema jembe letu na mimi ni mwana jf automatically umenihusisha,..hakuna tija kwenye haya malumbano hebu tuichambue rasimu ya wakina baregu,mimi inaniboa inapotaja tanzania bara na rais bado ana madaraka makubwa,we unaonaje?
 
jamani mbona hicho kiti kimepata mkosi mara mbili au kuna mkono wa mtu mambo ya uchawi

Ni mipango ya Mola tu wala hakuna lolote. Mungu ampe faraja mama yetu Khadija Kopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…