Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Mimi nipo Mwanza mwaego, hebu ni-PM tufwanze mambo!.poa usijali. jamani some people are not serious here wao wanafikiria kuwa ni jokes tu all the time, haya ni mapenzi sio siasa people learn from your mistakes.
JF siku hizi imeingiliwa na huwezi jua kama ni me au keHilo jina lako na hili bandiko vinaendana kweli.....ila vvu kupima lazima kabla ya yote
poa usijali. jamani some people are not serious here wao wanafikiria kuwa ni jokes tu all the time, haya ni mapenzi sio siasa people learn from your mistakes.
Habari zenu wadau, jamani mimi natafuta mume wa maisha awe na umri kati ya 34-36
mimi ni mwajiriwa katika company binafsi nimekamilika vilivyo.
mwanaume ambaye atakuwa tayari kuisha mwanza rock city anakaribishwa sana.:A S 12: