mume wa ku share nae maisha, pliz this serious.

mume wa ku share nae maisha, pliz this serious.

poa usijali. jamani some people are not serious here wao wanafikiria kuwa ni jokes tu all the time, haya ni mapenzi sio siasa people learn from your mistakes.
Mimi nipo Mwanza mwaego, hebu ni-PM tufwanze mambo!.
 
hurt someone with the truth, but never confort someone with a lie.
 
Hilo jina lako na hili bandiko vinaendana kweli.....ila vvu kupima lazima kabla ya yote
 
Jibu na msg za inbox basi, mbona unaonekana kama haujakamilika kama usemi wako ulivyoutoua hapo!

poa usijali. jamani some people are not serious here wao wanafikiria kuwa ni jokes tu all the time, haya ni mapenzi sio siasa people learn from your mistakes.
 
Habari zenu wadau, jamani mimi natafuta mume wa maisha awe na umri kati ya 34-36

mimi ni mwajiriwa katika company binafsi nimekamilika vilivyo.
mwanaume ambaye atakuwa tayari kuisha mwanza rock city anakaribishwa sana.:A S 12:

mie nina thirty yrs na ninaishi mwanza nina kazi yangu kama vp tuwasiliane.
 
nadhani kwa ulivyotaja ninaqualify ni-inbox ili tuwasiliane zaidi, niko serious if you are real serious
 
Back
Top Bottom