Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Zawad ya pasaka
FB_IMG_1522064156098.jpg
 
Ungeanza kwa kutaja wasifu/sifa zako ingependeza zaidi
 
Umeongea as if we huna shida ya ndoa vile,mwanaume ndo aangaike kukupata
 
Naona siku hizi wanawake bado wanachagua wanaume kama wapo sokoni wanachagua maembe.......! Kuna enbe lingine nje zuri ila ndani kuna mdudu
 
Mimi nina mke mmoja na watoto wawili ni muislam ninaejitambua mke wa pili ndio tatizo langu ikiwa uko teyari kukaa ukewenza kuvaa hijabu ya kisheria kuwa mama wa nyumbani uwe teyari kuishi mtwara ktk nyumba moja na mke mwezio nitakuja kuyajenga
 
Ukiona mwanamke anachagua mwanaume basi ujue umri bado unaruhusu, ila umri ukisha fika saa kumi hivi vigezo hautaviweka utakachotaka ni mwanaume tu.
 
Kama upo sealed basi ombi lako Mungu atakujibia, ila kama sealed ilisha tolea, wala usiwalaumu hao wanaosepa kutokana na kupingana na msimamo wako huo,
 
Mwanamke ni sawa na gari zilizopo showroom, kwa kifupi zinasubili mteja tu
 
Usipopata weka na picha kabisa. Picha inaweza mshawishi hata mtu kuja pm.
 
Back
Top Bottom