Mimi nina mke mmoja na watoto wawili ni muislam ninaejitambua mke wa pili ndio tatizo langu ikiwa uko teyari kukaa ukewenza kuvaa hijabu ya kisheria kuwa mama wa nyumbani uwe teyari kuishi mtwara ktk nyumba moja na mke mwezio nitakuja kuyajenga
Kama upo sealed basi ombi lako Mungu atakujibia, ila kama sealed ilisha tolea, wala usiwalaumu hao wanaosepa kutokana na kupingana na msimamo wako huo,