Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

Njoo PM kama utakidhi vigezo vya muonekano wako na umri nakuoa ndani ya miezi 3 tu kwa ndoa ya kanisani RC.
Karibu PM mrembo mana Nina wazo la kuwa na mke Ila sijampata/kumuandaa.
 
Baby manka ni PM kama uko seriously inshaa Allah tunaweza tukaw on truck sio aibu kutoa lililo moyoni yaliokupata unayajua mwenyewe hata kufikia kutotaka zinaa na kuomba mume
 
Hahahahha
 
Nadhan umekuja kuchangamsha genge tuu humu, sina hakika kama unamanisha coz thread yko imebeba jokes.
 
Unakubali kuwa mke wa pili?
 
Sitakuja kuamini maana mtafutaji hakimbilii PM mambo ni hadharani, maana huko PM utajaza wengi na mwisho wa siku basi ushapata kulainisha
Ni kheri ungeweka namba hapa ili wengi wasote wakijua unania kweli ila PM sina uhakika .pia jitaidini kuweka matangazo yenu vzr ili yawavutie watafutaji wa majike ..
Mfano utambulisho wako
Naitwa Ellen kalumanzira, Umri 26,Elimu Shule ya msingi ,Makazi Mwembe Togwa,Kazi Mkulima.
Malizia sina mtoto ,au watoto . Weka picha yako safii kabisa ili mwanaume akija kuonana nawe isiwe kama miujiza .
 
Mimi nina vigezo vyote lakini Je wewe nawe papuchi yako iko tight? au ndo imetepweta Hicho me ndio kigezo changu cha kwanza kabla sijaja PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…