Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Natumaini umepataAmiiiin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumaini umepataAmiiiin
Hebu njoo PM kwanzaWazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila wengi hawamuogop Mungu wameendekeza zinaa hvy nikiweka msimamo bac mtu anapotea lakini cjali naamini yupo mwenye hofu na Mungu na akanisitir
Hvy bac ww ambaye unahc unauhitaji wa mke ikiwezekan hata ndani ya mwaka huu huu bac hii ndo fursa yako na hakika hutajutia kunijua wala kunioa
Akiwa muislam itapendeza zaid
Akiwa msomi Sawa pia hata kama hana kazi haina shida mali zinatafutwa ila awe amesoma maana mm elim yangu mm ni ya kawaida tu
Andunje hapana jamn mnisamehe maana me pia anduje sasa tukitaka kufuta vumbi kwenye feni itakuaje hapo
Awe tayar kubadilika na kuishi kwa kumtegemea Mwenyez Mungu kwa kila kitu na sio binaadam mwenzake (shirki is not allowed)
Akiwa mpole kwangu nitashkr sana ila ajue tu yeye ndo baba hvy inafikia kipind atatakiwa upole ubakie kwangu ila kwa watoto natamani awe mkali zaid maana mm hadi najionea huruma siwez kuongea kwa ukali
Asiwe black saanaaa wala mweupeeee saaana angalau maji ya kunde
Awe tayar kuishi na mm bila kuninyanyasa maana sina kibarua Ila napenda ujasiriamali so akiniwezesha atafutarah maan biashara kwangu ni bora kuliko kuajiriwa
Ila nikibak nyumbani napenda zaid maana nitakuwa na uhakika wa kumtimizia mume wangu nahitaji yake kwa muda unaotakiwa angalau hata 95%
Karibuni PM mwenye nia tu
HahahahahahhahahahahaYou gotta understand the difference between real life and the internet
Good luck
Msweet mbona kichekoHahahahahahhahahahaha
Ukianza naomba nitag niwe wa kwanza kufika PMkila la heri ukipata nijuze nami nianze kutafuta kwani nahisi wa kunistiri nami huwenda nikampata humu
Wow all the best dearHakika
hahahah mxenge kwl ww umeniacha hoiMie Andunje na usihofu tukitaka kufuta feni tutaweka pipa na kiti juu yake alafu napanda kufuta
Too late amesema ashapataMimi nakuja
Tatizo ana discourage ambao ni andunje wakati option zipo nyingi kama mfano upo chini hapo;hahahah mxenge kwl ww umeniacha hoi
Aisee leo umeniongezea kitu kichwani kupitia hio pichaTatizo ana discourage ambao ni andunje wakati option zipo nyingi kama mfano upo chini hapo;
View attachment 816408
Unapatikanaje mrembo, kama bado naweza kuwa wakoNiko hapa...
Ngoja nichangamkie hiyo fursa maana mimi mara zote huwa ni mtoa msaada kwenye tuta pale mnapokwama.