Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kwani kunaubaya kusema kweli ndio nipo nae jamani nampa huduma na yeye analipia sioni kama ni tatizo kwanza wanaume wenyewe mpo wachache tusipobanana itakuwaje tu mnataka wake zenu wafaidi peke yao
Kwani tunakataa si ukimpa huduma lazima akupe na pesa ya sabuni vinginevyo utanuka atashindwa hata kukufaidi