Mume wa mtu

Mume wa mtu

shegaboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
213
Reaction score
34
Dada moja bwana alikuwa anajifanya anajua kuchukua waume wa watu. dada si akaingia kwa jamaa mmoja, wakawa wanapika na kupakua dada fulu kujiachia. akawa anatangaza sasa kwa marafiki zake kuwa kapata mshefa anampa matumizi ya kufa mtu. kati ya wale marafiki zake kuna mmoja alikuwa anamfahamu yule baba. ila alikuwa amjui mke wa yule jamaa. siku moja wakiwa salon wakawa wanapiga stori na wenzake si unajua mambo ya salon bwana umbeea nje nje. yule dada akawa anawapa stori za yule mzee na yule dada. oohh jana walikuwa maisha clab, majuzi walikwenda bagamoyo mzee anagawa matumizi huyo noma shoga. kumbe alikuwepo mke wa yule mzee akacheka sana kisha akasema. JAMANI TUTAKUFA WENGI BORA AONGEZE IDADA. HUYO MPENI SALAMU ZAKE TUKO WENGI. ahh Mzee kumbe kaungua bwana.
 
kumbe mkewe alishahamia chumba cha watoto!
 
Back
Top Bottom